technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kenya madaktari wameamua kuua watu kwa kugoma nchi nzima kuanzia zahanati mpaka hospitali kubwa ya Kenyatta .
Watu karibia 50 wamekufa ndani ya week moja kwa kukosa huduma .
Masikini watoto wadogo ndio wamekufa sana.
Wamama wanaojifungua pia wamekufa kweli.
Huu ni uharifu kwa hawa binadamu wasio na hatia, sasa nimeanza kuelewa kwanini kipindi kile Ulimboka watu walipata kumshugulikia kama mtu mmoja ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya Milioni 50.
Kiukweli ni bora sometime mtu mmoja ashugulikiwe ili kuwaokoa watu wengine walio wengi.
Madaktari nchi nyingi wanalipwa pesa nyingi sana lakini wala hawaoni hatari kuitisha migomo isiyo na tija wakati walimu waliowafundisha wanalipwa mshahara kidogo kuliko wao .
Hawa watu ni sahihi wanatakiwa kushugulikiwa au kupelekwa kwenye mahakama ile ya uharifu wa kibinadamu ICC kama wanavyofanywa wanasiasa.