Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,680
Kwa nini asinge watibu mwenyewe watoto wake kama anaona udaktari ni kazi ya mchezo mchezo tuu.Ni rahisi kuongea maneno haya kama hujaona ndugu yako anakufa kwa sababu madaktari wamegoma. Rafiki yangu ambae sasa nae marehemu alipoteza watoto wake mapacha pale Muhimbili wakati wa mgomo wa madaktari walioongozwa na Dk. Ulimboka. Kwake yeye ungemuuliza sawa Ulimboka kuteswa pengine angekujibu bora wange mmalizia kabisa hao watesi wake.
Huwezi kufanya kazi kwa kunyonywa halafu kisingizio kiwe huruhusiwi kugoma huo ni ujinga tuu.