Kinachoendelea Kenya kumbe Ulimboka ilikuwa sawa kushambuliwa

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Kenya madaktari wameamua kuua watu kwa kugoma nchi nzima kuanzia zahanati mpaka hospitali kubwa ya Kenyatta .

Watu karibia 50 wamekufa ndani ya week moja kwa kukosa huduma .

Masikini watoto wadogo ndio wamekufa sana.

Wamama wanaojifungua pia wamekufa kweli.

Huu ni uharifu kwa hawa binadamu wasio na hatia, sasa nimeanza kuelewa kwanini kipindi kile Ulimboka watu walipata kumshugulikia kama mtu mmoja ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya Milioni 50.

Kiukweli ni bora sometime mtu mmoja ashugulikiwe ili kuwaokoa watu wengine walio wengi.

Madaktari nchi nyingi wanalipwa pesa nyingi sana lakini wala hawaoni hatari kuitisha migomo isiyo na tija wakati walimu waliowafundisha wanalipwa mshahara kidogo kuliko wao .

Hawa watu ni sahihi wanatakiwa kushugulikiwa au kupelekwa kwenye mahakama ile ya uharifu wa kibinadamu ICC kama wanavyofanywa wanasiasa.
 
Kenya madaktari wameamua kuua watu kwa kugoma nchi nzima kuanzia zahanati mpaka hospitali kubwa ya Kenyatta .

Watu karibia 50 wamekufa ndani ya week moja kwa kukosa huduma .

Masikini watoto wadogo ndio wamekufa sana.

Wamama wanaojifungua pia wamekufa kweli.

Huu ni uharifu kwa hawa binadamu wasio na hatia, sasa nimeanza kuelewa kwanini Serikali kipindi kile iliamua kumshugulikia mtu mmoja ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya Milioni 50.

Na yule aliyekuwa anaongoza Mgomo ili Watanzania wafe ndiyo leo Katibu Mkuu wa Chadema eti naye anataka kuwa Raisi wa nchi hii, nchi ambayo alikuwa tayari kuwauwa Wananchi wake kwa kuhimiza mgomo ili tu kuishinikiza Serikali!
 
Kuna kitu kinaitwa Serikali na kiko kuu ya CCM na upinzani. Wengi hawajui hilo wanafikiri ni kitu kimoja. Bahati mbaya CCM wanajua vizuri sana lakini wale wengine hawajui..wanaangalia mambo Ki-Arusha.
 
Matembo wawili wakipigana nyasi hunyauka . ...hii ni LAANA PASE
 
Na yule aliyekuwa anaongoza Mgomo ili Watanzania wafe ndiyo leo Katibu Mkuu wa Chadema eti naye anataka kuwa Raisi wa nchi hii, nchi ambayo alikuwa tayari kuwauwa Wananchi wake kwa kuhimiza mgomo ili tu kuishinikiza Serikali!
HAMIS KIGWANG NILIMSIKIA KAMA ALIKUWA ANAWAUNGA MKONO KAMA MAFURU NA NDULU WANAVYOUNGA MKONO KUFIX ALL GOVERNMENT EARNINGS KWENYE AKAUNT YA BANK NA KUTUDANGANYA MAPATO YAMEPANDA KUMBE MAPATO YANAYOPANDA NI RIBA KAMA ZA VICOBA KUTOKA KWENYE HIYO BANGE
 
Kenya madaktari wameamua kuua watu kwa kugoma nchi nzima kuanzia zahanati mpaka hospitali kubwa ya Kenyatta .

Watu karibia 50 wamekufa ndani ya week moja kwa kukosa huduma .

Masikini watoto wadogo ndio wamekufa sana.

Wamama wanaojifungua pia wamekufa kweli.

Huu ni uharifu kwa hawa binadamu wasio na hatia, sasa nimeanza kuelewa kwanini Serikali kipindi kile iliamua kumshugulikia mtu mmoja ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya Milioni 50.

Kiukweli ni bora sometime mtu mmoja ashugulikiwe ili kuwaokoa watu wengine walio wengi.

Madaktari nchi nyingi wanalipwa pesa nyingi sana lakini wala hawaoni hatari kuitisha migomo isiyo na tija wakati walimu waliowafundisha wanalipwa mshahara kidogo kuliko wao .

Hawa watu ni sahihi wanatakiwa kushugulikiwa au kupelekwa kwenye mahakama ile ya uharifu wa kibinadamu ICC kama wanavyofanywa wanasiasa.

Serikali haikuwai kumgusa ulimboka na haiwezi fanya hivyo kwa raia wake...labda wewe kama una ushahidi na ulicho kiandika.....
 
Kenya madaktari wameamua kuua watu kwa kugoma nchi nzima kuanzia zahanati mpaka hospitali kubwa ya Kenyatta .

Watu karibia 50 wamekufa ndani ya week moja kwa kukosa huduma .

Masikini watoto wadogo ndio wamekufa sana.

Wamama wanaojifungua pia wamekufa kweli.

Huu ni uharifu kwa hawa binadamu wasio na hatia, sasa nimeanza kuelewa kwanini Serikali kipindi kile iliamua kumshugulikia mtu mmoja ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya Milioni 50.

Kiukweli ni bora sometime mtu mmoja ashugulikiwe ili kuwaokoa watu wengine walio wengi.

Madaktari nchi nyingi wanalipwa pesa nyingi sana lakini wala hawaoni hatari kuitisha migomo isiyo na tija wakati walimu waliowafundisha wanalipwa mshahara kidogo kuliko wao .

Hawa watu ni sahihi wanatakiwa kushugulikiwa au kupelekwa kwenye mahakama ile ya uharifu wa kibinadamu ICC kama wanavyofanywa wanasiasa.
Kumbe ile shughuli ilifanywa na SERIKALI??...Nilikuwa sijui aisee!
 
Wana usalama nadhani ni wakati wa kuonesha cyber crime iko hai!Huyu akamatwe afikishwe mahakamani akaeleze ni kwa namna gani serikali inahusika kuteka na kutesa raia wake!Hii ni tuhuma nzito!
Sio usalama tu, hata TCRA waliripoti hili mahala husika, huyu anaweze kua shahidi mzuri. Anataka kutuambia kua serikali huteza na kuumiza raia wake. Naweza kua miongoni mwa watakaoenda kushinikiza huyu mleta mada akamatwe.
 
Yaani hii laana inayotolewa kwa madaktari wakigoma wakati wabunge wakijiongezea mshahara na kwa rais ambaye kaacha kuajiri madaktari vijana 2000 hatulamiki,
Vifo na magonjwa ya kipuuzi ni halali yetu.
Wacha wanaojielewa wakatibiwe ulaya.
 
Back
Top Bottom