Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,839 Reaction score 82,381 Oct 31, 2018 #2 Sky Eclat said: Click to expand... Pesa zote za uendeshaji wa kampuni wamefanyia usajili. Ndio hapo utaona watu walivyo wajinga kukosa kujua hata basic economic concepts. Mtu anatoa mamilioni ya hela ambayo hayana ROI unategemea nini?
Sky Eclat said: Click to expand... Pesa zote za uendeshaji wa kampuni wamefanyia usajili. Ndio hapo utaona watu walivyo wajinga kukosa kujua hata basic economic concepts. Mtu anatoa mamilioni ya hela ambayo hayana ROI unategemea nini?
T THE NEXT DON JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 307 Reaction score 302 Oct 31, 2018 #3 Hili li project nalo ni la kitapeli tu.. Mradi gani wa hovyo hivi. Hata mbumbumbu wa masuala ya menejimenti ya usafiri unaweza kufanya vema kuliko hawa jamaa wa UDART!
Hili li project nalo ni la kitapeli tu.. Mradi gani wa hovyo hivi. Hata mbumbumbu wa masuala ya menejimenti ya usafiri unaweza kufanya vema kuliko hawa jamaa wa UDART!
squirtinator JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 2,765 Reaction score 4,193 Oct 31, 2018 #4 chaliifrancisco said: Pesa zote za uendeshaji wa kampuni wamefanyia usajili. Ndio hapo utaona watu walivyo wajinga kukosa kujua hata basic economic concepts. Mtu anatoa mamilioni ya hela ambayo hayana ROI unategemea nini? Click to expand... Udart haiendeshwi na serikali, serikali wana shea minority ila ktk uendeshaji hawapo kabisa.
chaliifrancisco said: Pesa zote za uendeshaji wa kampuni wamefanyia usajili. Ndio hapo utaona watu walivyo wajinga kukosa kujua hata basic economic concepts. Mtu anatoa mamilioni ya hela ambayo hayana ROI unategemea nini? Click to expand... Udart haiendeshwi na serikali, serikali wana shea minority ila ktk uendeshaji hawapo kabisa.