Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
watu wapumbavu kweli,yani mnawaza udini tu au kwakua jk "amewatia" akilini mwenu?
 
Chanzo ni taarifa ya habari ya tbc1 ya saa 1 asubuhi ambapo wameonyesha mkurugenzi akitoa matokeo hayo usiku wa manane kuamkia leo.

Bora ukae kimyaaa!! huna lolote unatupotezea muda wetu. Hivi kwa akili zako hii taarifa yako imekamilika? Hapa ni mahali pa Great Thinkers, we don't interntain black news like yours. Bora hata ungepost pale kwenye jokes. Think before you do anything.
 
nyie watu wa chadema ni watu wa ajabu sana. Kwani lipumba kupata kura nyingi kuliko slaa ni tatizo? Au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni waislamu vs waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.

crappp!!!!!!!!!
 
dzed25
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateSun Oct 2010Posts9Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0


HAWA SIJUI WAMETUMWA TOKEA JUMAPILI WAMEKUWA WAKIINGIA KAMA VILE KUMBIKUMBI
 
Yale yale ya bukoba mjini!! BK waliojiandikisha 63000+ waliopiga kura 33000+, what the hell are these NEC?

Wanamkomoa nani sijui? Hawa watu hawaitakii mema Tanzania ila wako kwa maslahi yao pekeee.

Inatia kinyaaa, kichefu chefu, inavunja moyo, inatia hasira na inanunisha na kuijengea jamii uadui ambao ukifumka sidhani kama watu tutaheshimiana wakuu.

Yaani NEC wanaona sawa tu, serikali wanaona sawa tu? wakuu tufanyeje? Maana hawa CCM hata kuzungumzia kubadili katiba ndo kwanza wanaipa viraka viraka kila kukicha kwa manufaa yao. I hate, I hate this.
 
Usiwe na hofu, kifuatacho ni upinzani kupeleka motion ya kubadili katiba na kupunguza nguvu za Rais kwa mfano uteuzi wa tume ya uchaguzi, majaji n.k.

Hii wananchi tuipe support ikiwezekana wapate shinikizo kwa hao wafadhili wanaopenda demokrasi.
 
Wana JF mimi nipo mbali kidogo na sources za info, so the only source I rely is JF, nimeshangazwa na taarifa ya kushinda kwa Mahanga. Jana kuna thread ilisema Mahanga alishikwa na masanduku ya kura. Sasa inakuwaje tena atangazwe mshindi na wakati tuliambiwa yupo kituo cha polisi? Imekaaje hii, niwekeni sawa.
 
jana wamekata umeme mda mrefu,kumbe nia ilikua ni kutangaza matokeo ili baadhi ya watu wasione waje wayasikie asubuhi.
hii nchi sijui tunaelekea wapi. hivi kwani kuna biashara gani huko bungeni hadi watu waibe kura???:nono:
 
SISIEMU kama kawaida yao WAMECHUKUA WAMEWEKA WAA!!! sasa mpendazoe aende akagombee uganda kuna uchaguzi karibuni, Kanali Besigye anatafuta washirika:smile-big:

Zingatia: JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI waweza gombea kokote:tape:
 
Mahanga kura 43,000+
Uncle Fred kura 39,000+
Source:Clouds FM (Bonge Mtaani)

Nina wasiwasi kama hawajachakachua!!
 
Kuchakachua kwenu kutawatia kutawatokea puani this time,
ndo maana mkifika bungeni mnalala tuuuuuuuuuuuu
kazi yenu ndiyo mzee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom