Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Waliokuwa wanasema Mpendazoe kakimbia kwao sasa waje hapa tuwasikie tena na watuambie story zao!! TZ ni ya kwetu wote na tuna uhuru wa kuishi na kugombea mahali popote isipokuwa ZNZ!!
 
tafadhali bia tena! Wenzio tunafurahia kwa kujiandaa kuchangia mawazo sasa!!!!!!
Usije lewa kama yule aliyekufa kwa kubwia gongo bureeeeeee

mbuyi tulandi mbolembole mayimbi ayi,tutukani vandu mayimbi ayi,chilau kwa balozi mayimbi aya
 
takwimu za nini jamani, sie kusikia tumeshinda yatosha, tunatakiwa kuanza kushangilia hata kabla ya kutangazwa ili washindwe kuchakachua.
 
Waliokuwa wanasema Mpendazoe kakimbia kwao sasa waje hapa tuwasikie tena na watuambie story zao!! TZ ni ya kwetu wote na tuna uhuru wa kuishi na kugombea mahali popote isipokuwa ZNZ!!

Well, una maana Zanzibar sio Tanzania? au una maana iliyokuwa Tanganyika ndio Tanzania? All in all wanasegerea amameonesha nini Pumba na nini si Pumba. I wonder Kiyabo wa CCJ ambaye sasa yuko CCM anafanya nini? yeye hata kugombea hakugombea.
 
ChademaTz Julius Selasini (CHADEMA) ametangazwa Mbunge mteule jimbo la Rombo baada ya kumwangusha Basil Mramba (CCM) #UchaguziTz #Tanzania
 
Jamani Segerea bado, wanasubiri eti matokeo ya Kiwalani, Kipawa
 
ChademaTz Julius Selasini (CHADEMA) ametangazwa Mbunge mteule jimbo la Rombo baada ya kumwangusha Basil Mramba (CCM) #UchaguziTz #Tanzania

Safi sana kwa update ya Rombo maana tulisikia CCM wameomba kura zihesabiwe tena. Chadema Juuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Jamani Segerea bado, wanasubiri eti matokeo ya Kiwalani, Kipawa

Du this is a joke of the year! Sasa kama huko Namtumbo au Ukerewe tena kwenye visiwa lukuki matokeo tayari hao wanatwambia wanasubiri Kiwalani na Kipawa. Kwa muda wote toka kura zimepigwa hata kama hayo matokeo yangekuwa yanakusanywa kwa miguu ingekuwa tayari sasa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom