Muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.

1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.

2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.

3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.

4. Kwamba nafasi za wasimamizi wa Uchaguzi ambazo kwa sasa ni wakurugenzi wa halmashauri zitangazwe ili kuwapa wenye sifa kutuma maombi yao. Kwamba watakaohusika kuwafanyia usaili wasimamizi wa Uchaguzi ni Mwenyekiti, Mkurugenzi pamoja na wajumbe/Makamishina wa uchaguzi waliopatikana kama nilivyoeleza hapo juu.

5. Kwamba watumishi wa Tume Huru ya Uchaguzi waajiriwe na iwe marufuku kuwateuwa vyeo vingine mpaka watakapomaliza muda wao wa utumishi katika tume hiyo.

6. Ndani ya muundo huru nimeanisha utendaji wa tume, uhuru wake na uwajibikaji wake.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment TUME HURU YA UCHAGUZI-Mdude.pdf
 
Hata kwenye vyama vyenu na asasi za kiraia, kitengo wana watu wao kitambo sana, mkipendekeza majina toka vyama vya siasa na taasisi za kiraia, mnakuta mmependekeza watu wa kitengo tu. Mama atakuwa amekaa paleee anawacheka kwa jino pembe kwa kumletea watu wake mkidhani ni wenu
 
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2861673
Nakipongeza sana hiyo ndio TUME HURU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hata kwenye vyama vyenu na asasi za kiraia, kitengo wana watu wao kitambo sana, mkipendekeza majina toka vyama vya siasa na taasisi za kiraia, mnakuta mmependekeza watu wa kitengo tu. Mama atakuwa amekaa paleee anawacheka kwa jino pembe kwa kumletea watu wake mkidhani ni wenu
Kipi bora sasa?
 
1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.

2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.

3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.
Je hawa makamishina watakuwa responsible wapi wakati wa kutimiza majukumu yao. Je ni ofisi ya Rais, Mahakama Kuu ama Bunge ?
 
Kuboresha,nafasi ya Kamishna ambae atakuwa ndio CEO ,hii ITANGAZWE na mwenye SIFA ndio ateuliwe na hawa wajumbe 12,na mchakato wake uwe wa WAZI ikiwezekana uwe mubashara kabisa..awe mtu shababi kitaalamu,kimaadili,kiuzoefu..na awe anawezafukuzwa na TUME,akiboronga
 
Hao wasimamizi ngazi ya majimbo watafanyia kazi wapi?? Kama ni ofisi zilezile za Halmashauri bado CCM wataiba tu..

Pelekeni shauri mahakamani WALIMU wasisimamie uchaguzi wowote kwani wanachofanya wanajua wao na mwajiri wao.
 
Kuboresha,nafasi ya Kamishna ambae atakuwa ndio CEO ,hii ITANGAZWE na mwenye SIFA ndio ateuliwe na hawa wajumbe 12,na mchakato wake uwe wa WAZI ikiwezekana uwe mubashara kabisa..awe mtu shababi kitaalamu,kimaadili,kiuzoefu..na awe anawezafukuzwa na TUME,akiboronga
ni vigumu mno kupata TUME HURU ya uchaguzi bila kuifumua katiba yetu. Je mamlaka ya huyo CEO yatakuwaje kikatiba?

Kama yatabakia kama yalivyoanishwa kwenye katiba hii, sahau kupata uchaguzi huru na haki.
 
Nami naunga mkono hoja yako,KATIBA MPYA iliyo BORA kwanza
 
Kuboresha,nafasi ya Kamishna ambae atakuwa ndio CEO ,hii ITANGAZWE na mwenye SIFA ndio ateuliwe na hawa wajumbe 12,na mchakato wake uwe wa WAZI ikiwezekana uwe mubashara kabisa..awe mtu shababi kitaalamu,kimaadili,kiuzoefu..na awe anawezafukuzwa na TUME,akiboronga
Angalau kidogoo umeeleweka kwamba mchakato wa kuwapata hao wajumbe 12 uwe wa wazi!!!!
 
Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.

1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.

2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.

3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.

4. Kwamba nafasi za wasimamizi wa Uchaguzi ambazo kwa sasa ni wakurugenzi wa halmashauri zitangazwe ili kuwapa wenye sifa kutuma maombi yao. Kwamba watakaohusika kuwafanyia usaili wasimamizi wa Uchaguzi ni Mwenyekiti, Mkurugenzi pamoja na wajumbe/Makamishina wa uchaguzi waliopatikana kama nilivyoeleza hapo juu.

5. Kwamba watumishi wa Tume Huru ya Uchaguzi waajiriwe na iwe marufuku kuwateuwa vyeo vingine mpaka watakapomaliza muda wao wa utumishi katika tume hiyo.

6. Ndani ya muundo huru nimeanisha utendaji wa tume, uhuru wake na uwajibikaji wake.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2861673
Makamishina watokane na ajira za kawaida, wasitokane na vyama au taasisi yoyote ambayo inaweza ikawapa maelekezo.

KATIBA KWANZA MENGINE BAADAE.
 
Je hawa makamishina watakuwa responsible wapi wakati wa kutimiza majukumu yao. Je ni ofisi ya Rais, Mahakama Kuu ama Bunge ?
Swali zuri. Maana haiwezekani Kikundi tu cha watu kidichowajibika kwenye mamlaka yoyote kipewe djamaba kubwa namna hiyo.

Lkn pia mapendekezo haya yanahitaji marekebisho ya katiba.
 
Rais akiona anaelemewa anaweza kutoa tamko la kusitisha zoezi la kuhesabu kura kwa kisingizio cha ukosefu wa usalama. Masanduku yakawekwa ofisi za mkurugenzi kwa wiki moja. Wakafanya yao halafu akaruhusu zoezi liendelee.

Halafu alifanya hivyo utampeleka wapi wakati hashitakiwi?

Mnapendekeza matokeo ya urais yahojiwe na mahakama. Mahakama zipi? Kwa majaji gani?

Halafu, hivi mnajua kwamba viongozi wa vyama vidogo vidogo vya siasa wote ni mapandikizi ama machawa wa ccm?
 
Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.

1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.

2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.

3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.

4. Kwamba nafasi za wasimamizi wa Uchaguzi ambazo kwa sasa ni wakurugenzi wa halmashauri zitangazwe ili kuwapa wenye sifa kutuma maombi yao. Kwamba watakaohusika kuwafanyia usaili wasimamizi wa Uchaguzi ni Mwenyekiti, Mkurugenzi pamoja na wajumbe/Makamishina wa uchaguzi waliopatikana kama nilivyoeleza hapo juu.

5. Kwamba watumishi wa Tume Huru ya Uchaguzi waajiriwe na iwe marufuku kuwateuwa vyeo vingine mpaka watakapomaliza muda wao wa utumishi katika tume hiyo.

6. Ndani ya muundo huru nimeanisha utendaji wa tume, uhuru wake na uwajibikaji wake.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2861673
Tanzania kuna mihimili mitatu, sasa tunapata muhimili wa 5. Dr Assad alitaka kuanzisha muhimili wa 4 akashindwa. Tume ya Uchaguzi ni chombo cha serkali kiko chini ya Rais naye kakipangia Wizara, ni TAMISEMI. Kuna taasisi nyingi mno - Benki Kuu, TRA, TPDF, TAKUKURU, TANESCO, IFM, nk, nyingi tu-mbona hazijaomba ziwe muhimili?
 
Back
Top Bottom