home sweet home mnaangalia wote isidingo.... mpira.... ze komedi.....?
Ni kama kuchanganya maji na mafuta, kamwe hutapata mchanganyiko.yeye anasema eti inabidi muwe mnaangalia pamoja huo mpira na ikifika muda wa akina kanumba pia mpo wote, lol!
exactly!
lakini tunadumisha mapenzi yetu
hiyo inatokeaga mara moja moja, lol!hii nayo ina madhara yake, mnaweza msile wala kunywa humo ndani kutokana na kufanana interests
FP na Nivea nimewaelewa sana labda nijisemee mimi.huko kwenye DSTV premium package ndo ugovi unakoanzia......
kuna mipira 24 hrs, channels kibao..... sasa mimi African magic naangalia saa ngapi?
na yeye African magic haipandi basi mnaamua kununua dual deck kila mtu anachagua kona yake na kuangalia anachotaka..... hapo mtakuwa mna interest sawa?
labda HorsePower anisaidie hapa
yap ni kweli kwamba mkioana hobbies sawa inakuwa poa kabisa, lkn jamani hebu twendeni mbele turudi nyuma tumewah kujiuliza familia ambazo baba ana pendelea vitu fulan halafu mama hapendelei??
mara nyingi sana wamama tumekuwa watu ambao tunamudu kuwa flexible na hobbies za wenzi wetu ila wababa mweeeh............wako rigid sana. utakuta mama hata kama hapendi kujisomea ama sio mtu wa kunywa pombe lkn so long as baba anakunywa basi mama huwa anakuwa karibu yake kumpate, kurefill glass ya baba, kumpa stori mbili tatu hadi baba achoke kunywa.
kinyume chake kama baba hanywi halafu mama ndo mnywaji ni patashika nguo kuchanika. baba hawez kumsindikiza mama bar kwenda kunywa.
nikiliangalia hilo na nkisha nikilinganisha na kujifunza kuvumiliana basi kwangu huwa naonaga mnogo wa mapenzi husindikwa na uvumilivu zaid, na upendo kuliko kuwa na the like interest.
Nzuri kabisa, mzima? Ulipotelea wapi? Mimi nilijificha kidogo nikawa najaribu kupambana na changamoto za hapa na pale...
FP na Nivea nimewaelewa sana labda nijisemee mimi.
mimi nilijifunza kuwa tolerant kwenye hobbies hubby. masaa yote yeye akikaa anawaza kusoma tu majournal yote ya uhandisi amalize, sasa mbaya zaid anasoma yeye lkn anataka wewe ndo umskilize ama afanyie discussion bench so uvumilie akisema jambo umjibu na uonyeshe interest kwenye anachokisema. mbaya zaid sijui uhandisi hata chembe lkn yeye kanifanya had siku hizi najua latest models za construction na vitu kama hivyo.mwanzo nilikuwa najiuliza kama ningeweza but nilijikuta namudu kwani usipomzingatia anaboreka sana sana. Lkn nilijitahd kuzoea kiasi kwamba hata kama ni bar akianza tu kuyafungua mabuku yake basi mimi ndo discussion memba wake. so muda mwingine huwa tunavumulia mapenzi ya wenzetu.
Hapo umenena kweli! Hebu gonga! Ni kweli kabisa hata mimi niningevumilia kumsindikiza mke wangu bar eti akanywe mi nimsubiri hahaha! Atakuwa kanioa basi! Japo naweza nikamwambia akanunua na anywee home basi. Lakini, apart from drinking, hobbies nyingine yawezekana kabisa ukajipinda na ku adapt.
ha haaaa, nikijicheck mara ya mwisho alipotaka kuni-impress na hobby yake ya mpira ndo aliharibu kabisaaaaaaa....FP na Nivea nimewaelewa sana labda nijisemee mimi.
mimi nilijifunza kuwa tolerant kwenye hobbies hubby. masaa yote yeye akikaa anawaza kusoma tu majournal yote ya uhandisi amalize, sasa mbaya zaid anasoma yeye lkn anataka wewe ndo umskilize ama afanyie discussion bench so uvumilie akisema jambo umjibu na uonyeshe interest kwenye anachokisema. mbaya zaid sijui uhandisi hata chembe lkn yeye kanifanya had siku hizi najua latest models za construction na vitu kama hivyo.mwanzo nilikuwa najiuliza kama ningeweza but nilijikuta namudu kwani usipomzingatia anaboreka sana sana. Lkn nilijitahd kuzoea kiasi kwamba hata kama ni bar akianza tu kuyafungua mabuku yake basi mimi ndo discussion memba wake. so muda mwingine huwa tunavumulia mapenzi ya wenzetu.
Sasa tusikumbuke haya pale ambapo maji yamemwagika, wengine tuliochemka tuzidi kuvumilia haya maji ya moto la sivyo labda ni kujitafutia ka air conditioner kakupoza kidogo! ....
Mwezenu juzi ndo nimemuona ambaye kweli angekuwa suitor wangu kiukweli. Ana interest zangu zoooote! Sasa imenibidi mdomo uwe zege, nikaishia kujing'ata na kumeza mate!
Asalaam aleikum.
hahahaahahahaa kipenzi kawida tu ukiona kakomaa kuangalia hichi wewe unachuku ipad unakula jf bila bughudha.watu wamekariri eti kwenda club,beach ngwasuma,bar sehemu za starehe ,casino eti ndio mapeenziii nononono buni new staili y maisha ,Homee sweet homee