Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,845
Ndo maana kitandani wako vizuri we endelea kutafuta viungo vp chipsi hukuiona
Upande upi wa Rock Mall? Geti la kutokea uwanja wa furahisha au Ghana?Siku hizi kupata migahawa ya bei za kawaida na bado wakakupa chakula kizuri imekuwa ngumu sana,wapishi kama yule anayelisha opposite na rocky city mall,ni adimu!Nampa hongera yule mama pale nje ya mall unajitahidi kukarangiza.
Kila sehemu kuna tamaduni na namna ya maisha, hivo basi hapawezi kuwa sawa. Watu wa huko labda wanapenda mchemsho na si wapenzi wa vyakula vyenye viungo. Uwezi sema awajui ila ukupata ulichotaka. Na hii ni kweli kabisa watu wa pwani wanapenda vikolombwezo vingi na wengine wanataka natural tasteMwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Huko ni takatakaNi mwanza tu au hata maeneo ya Chato ni hivo hivo?
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Fursa ni nyingi mno,,nilipiga sana hela ule mkoa,pako safi sana kwenye noti
Makao makuu ni Katoro, Chato mbwembwe tu.Mungu wangu!!! Pamoja na airport ya kimataifa, bohari kubwa ya MSD, ofisi kubwa ya TRA, branch nzuri ya CRDB, kumbe afadhali hata Katoro?
Karibu kanda ya pwani mkuu. Kwa misosi wanajitahidi.Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es Salaam ambalo limeshika namba moja.
Lakini;
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7 inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yani hapa nawapa zero.
Watu wa huku kwenye kuandaa misosi wako rafu na hawajui kabisa yaani wanachojua ni kuchemsha tu vyakula karibia vyote ila ndiyo waandaji ndiyo shida hiki kimeniuzi sana.
Wao wenyeji hawaoni tofauti. Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind kama ushaishi Pwani, Tanga, Dar hata Dodoma, Iringa, Mbeya, Morogoro wapo vizuri ila siyo huku.
Uzuri ni samaki tu! Unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu hapo washamaliza. Yaani unajiuliza ungeagiza mchemsho tu! Unless uende kula mahotel makubwa sana ila siyo restaurant au migahawa.
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa hela unaonekana. Upo
yaani kama misosi inachemshwa ili mradi tu na bei juu bado watu wananunua, pesa ipo
na biashara nyingne naona zinaenda.
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu.
Mfano ni zipi mkuuFursa ni nyingi mno,,nilipiga sana hela ule mkoa,pako safi sana kwenye noti
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kuikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.
Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.
Ukiona mtu mpaka anaanzisha thread kuiponda mwanza ujuwe wivu unamsumbua πππ
πππππππππNilikua na jirani Msukuma akipika kuku lazima anunue wawili anasema hataki watoto wagombanie mapaja
Wanaume wa mikoani pamoja na kua na nguvu za kiume lakini wakigongewa madem zao either wanawauwa wapenzi wao hao na wenyewe wanajinyonga... wanaume wa mikoani dhaifu sana kuhimili mikiki mikiki ya kimapenzi..kwao wanawake ni kitu cha ajabu sana...wanaume wa dar bana kila siku kutwa kuanzisha nyuzi kuhusu kuikandia mwanza ili mradi tu mpate point ya kuondoa ka unyonge kenu,hivyo vyakula ndo vinavyowapa nguvu wanaume wa mikoani.
Mafuriko yakitokea huwez mkuta mwanaume wa mkoani kabebwa mgongoni,au kaenda kusafishwa miguu baada ya kutembea kwenye tope never.
Watu wanafanya mishe tofauti,,,