jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Acha sisi tule michemsho ya samaki,wewe kama unataka samaki aliyekolezwa viungo nenda kamwambie shemeji akufanyie hivyo.Mwanza n jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es salaam ambalo limeshika namba moja!!
LAKINI
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7... Inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yaan hapa nawapa zero,...
Aisee watu wa huku kwenye kuandaa misos wako rafu na hawajui kabisa ....yaan wanachojua n kuchemsha tu...vyakula karibia vyote ila ndyo waandaji ndyo shida hiki kimeniuzi sana
Wao wenyeji hawaoni tofaut
Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind....kama ushaishi pwani,tanga ,dar...hata dodoma ,iringa,mbeya ,moro wapo vizur ila cyo huku
Uzur n samaki tu!!.....ivi unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu apo washamaliza......
Yaan unajiuliza ungeajiza mchemsho tu!!
Unless uende kula mahotel makubwa sana !!ila cyo restaurant au migahawa
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa ela unaonekana. Upo
Yaan kama misos inachemshwa ili mrad tu na bei juu bado watu wananunua ...pesa ipo
Na biashara nyingne naona zinaenda
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu
kawaulize wasanii na bongo movi kwa nini wanapenda kwenda huko ukipata jibu utanyamazaMwanza n jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es salaam ambalo limeshika namba moja!!
LAKINI
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7... Inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yaan hapa nawapa zero,...
Aisee watu wa huku kwenye kuandaa misos wako rafu na hawajui kabisa ....yaan wanachojua n kuchemsha tu...vyakula karibia vyote ila ndyo waandaji ndyo shida hiki kimeniuzi sana
Wao wenyeji hawaoni tofaut
Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind....kama ushaishi pwani,tanga ,dar...hata dodoma ,iringa,mbeya ,moro wapo vizur ila cyo huku
Uzur n samaki tu!!.....ivi unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu apo washamaliza......
Yaan unajiuliza ungeajiza mchemsho tu!!
Unless uende kula mahotel makubwa sana !!ila cyo restaurant au migahawa
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa ela unaonekana. Upo
Yaan kama misos inachemshwa ili mrad tu na bei juu bado watu wananunua ...pesa ipo
Na biashara nyingne naona zinaenda
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu
Ni mwanza tu au hata maeneo ya Chato ni hivo hivo?
Mungu wangu!!! Pamoja na airport ya kimataifa, bohari kubwa ya MSD, ofisi kubwa ya TRA, branch nzuri ya CRDB, kumbe afadhali hata Katoro?Chato hakufai mji mzima hata sambusa hakuna,utaambulia nyanya,fulu,maziwa,numbu(viazi vitamu)
Kwenye mapishi ww ni muongo sikuungi mkonoMwanza n jiji la pili kwa ukubwa ukiacha na Dar es salaam ambalo limeshika namba moja!!
LAKINI
WATU
Ushamba wa watu hii ni pie 22/7... Inajulikana
MISOSI
Hapa ndpo shida ilipo, aisee watu wa huku hawajui kupika yaan hapa nawapa zero,...
Aisee watu wa huku kwenye kuandaa misos wako rafu na hawajui kabisa ....yaan wanachojua n kuchemsha tu...vyakula karibia vyote ila ndyo waandaji ndyo shida hiki kimeniuzi sana
Wao wenyeji hawaoni tofaut
Sasa kwa watu ambao wameishi mikoa tofauti tofauti lazima wamind....kama ushaishi pwani,tanga ,dar...hata dodoma ,iringa,mbeya ,moro wapo vizur ila cyo huku
Uzur n samaki tu!!.....ivi unaagiza wali samaki unaletewa samaki aliyechemshwa na wali mkavu apo washamaliza......
Yaan unajiuliza ungeajiza mchemsho tu!!
Unless uende kula mahotel makubwa sana !!ila cyo restaurant au migahawa
BIASHARA
Biashara na mzunguko wa ela unaonekana. Upo
Yaan kama misos inachemshwa ili mrad tu na bei juu bado watu wananunua ...pesa ipo
Na biashara nyingne naona zinaenda
Ila kama we mpenda kula usije huku labda ujie samaki tu
wacha wee!Chato hakufai mji mzima hata sambusa hakuna,utaambulia nyanya,fulu,maziwa,numbu(viazi vitamu)
Ambacho huelewi nn!!..... Jiji n population n maendeleo.....au unataka nikufafanulie vigezo vya jijiJiji la pili kwa ukubwa kivipi yani sijakuelewa
Wale wale wenye mali hawawez zprocessAcha sisi tule michemsho ya samaki,wewe kama unataka samaki aliyekolezwa viungo nenda kamwambie shemeji akufanyie hivyo.
Usicheke bwana. Tunatekereza kwanza miradi mikubwa ya maendeleo.Hi hi hiiiiiiii nacheka kihutu
Labda nikuulize wewe maana kama naww n msaniiikawaulize wasanii na bongo movi kwa nini wanapenda kwenda huko ukipata jibu utanyamaza