Mkuu Toothpick, silence yake ndio silaha yake kubwa na ndio karata yake ya mwisho!.
Wenye akili zao, wameishaelewa!, hebu mfuatilie JK, na Kinana kama wana udhubutu wa kumtaja EL!, hao wanaotaja taja ni wajinga wajinga tuu wasio elewa who's the real one behind Richmond!, EL ni mbebaji tuu wa mizigo ya watu!.
Kimya kingi kina mshindo mkuu, subirieni 2015, kama CCM ina jeuri ya kutomteua, itakuwa ndio imemwaga ugali, naye atamwaga mboga, msioelewa ndio mtaelewa!.
Hivi mtu mwenye akili zake timamu hawezi kujiuliza, kama huyu mtu amejiuzulu kwa kashfa, anawezaje tena sio kuutaka urais, bali hata kuufikiria tuu huo urais?.
Pasco
Ukimya ni busara!Always say less than necessary; when u are trying to impress people with words,the more u say,the more common u appear & less in control.
ben alikula BAN ndefu sana kwa kushirikiana na wahuni tu , hayo ya sumu siyajui , japokuwa kesi yao haifanani nammemchukulia ben aka yahaya hatua gn baada yakutka kumlisha zitto sumu?
akijibu tu mjadala utakuwa umeisha !
Mkuu Pasco, Kwa kinachoendelea ndani ya watawala na utawala USISHANGAE hiyo 2015 isifike!
EL kashasalitiwa hata na RAFIKIYE!
Lowassa ajiulize hata wakiamua na wakafanikiwa kum-terminate (stricto senso), ana lipi la kuacha nyuma yake zaidi ya alikuwa fisadi, mvurugaji, msaliti, mhujumu n.k?
Man, They say, NIP THINGS IN THE BUD!
Jibu ni ALIHUSIKA au HAKUHUSIKA.
anapaswa kufunguka lini? na kivipi? na kwa nini asifunguke kipindi kile aje kufunguka leo?? kwa nini leo na sio miaka au kipindi kile cha EPA na RICHMOND???Ndio maana anapaswa kufunguka
Amalizwe kivipi embu eleza ueleweke!!!kabla hajamalizwa.
Lowassa hana 'GUTS'...was he man enough he would have chosen MREMA'S path.. back in 90s..
This is a hard fact!
Lowassa ana siri kubwa moyoni
Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili. Mazuri aliyoyafanya yalionekana na yataendelea kukumbukwa. Kama binadamu hawezi kukosa kasoro hapa na pale, ndio asili ya maisha na kuishi kwa binadamu yeyote.
Kilichokuja kukumbana na bwana huyu katika utendaji wake kama Waziri mkuu na sakata lililolitesa taifa la RICHMOND.
Toka wakati huo Lowassa ameonekana kama shetani, msaliti na fisadi mkubwa wa taifa hili.
Najiuliza ukweli hapa ukoje?
Nijuavyo mradi wa RICHMOND which was a MULT BILLION SHILLINGS CONTRACT, hauwezekani ukamhusu Lowassa pekee. Ni lazima cabinet yote ilihusika hatua kwa hatua hadi final conclusion yake.
Kum-single out MTU mmoja kwa jambo ambalo wengi wanapaswa kuwajibika, Its just not fair!
Kwa kauli ya Mkuu wa Nchi, hili kwa Lowassa lilikuwa ni ajali tu, (MANENO HAYA HAKUTAMKA KWA BAHATI MBAYA)
Lakini hata Lowassa mwenyewe kwa kauli yake siku ya kujiuzulu alitabanahisha kuwa anajiuzulu ili "KUKILINDA CHAMA CHAKE NA SERIKALI YAKE", Bila shaka kwa makosa haya ambayo yaneweza kukigharimu chama na serikali yake!
Leo anapigwa vita hadi ndani ya chama hicho alichokiokoa
Najiuliza siku akiamua nayeye kufunguka, Itakuwaje?