choosen_10
Member
- Nov 12, 2015
- 15
- 3
Sidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
Sidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
Wataalamu wa sheria watusaidie maanake siamini haya matamko ya TRA yana mashiko kisheria ndo maana wakawekwa TRA ili wakusanye sio jukumu la mteja au mtumiaji kuchukua risiti.Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya nilijiwekea mafuta. Uzuri nilikuwa nayo, akaisoma kisha akaondoka.
Swali:-
Je huu ni utaratibu rasmi wa TRA au ndio utapeli na upigaji mpya jijini?
Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya nilijiwekea mafuta. Uzuri nilikuwa nayo, akaisoma kisha akaondoka.
Swali:-
Je huu ni utaratibu rasmi wa TRA au ndio utapeli na upigaji mpya jijini?
Tofautisha kati ya kudai risiti na kutunza risiti. Nikae na risiti kwa muda gani ?Ila ni sawa... Kama wanahimiza kila unachonunua dai risiti... Kwa nini usichukue risiti ya mafuta...
Cc: mahondaw
Kutoona kwako hakumfanyi mtoa mada kuwa muongo jadili swali lake wewe si kipimo cha ukweli labda uwe traSidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
Ngoja mpaka kikukute. Ila kwa tahadhari ukijaza mafuta kituoni hakikisha unapewa risiti na unaitunza kwenye gari lako vinginevyo Tsh 30,000 zitakutoka na huchomoki kaka.Sidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
kwa sasa wew chukua funzo ayo mengine yakikukuta ndo utajua hujawah ona watu wanaibiwa daily lakini wengine hawajui hata kuibiwa ni niniSidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.
Ni kweli. TRA wapo katika zoezi la kukagua kama wauzaji wa mafuta watatoa risiti na pia kama wanunuzi wanadai na kupewa risiti. Ukiuza toa risiti na usinunue dai risiti.Sidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.