TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,302
Nikwanini yasiwe yanalipiwa kodi hukohuko bandarini kama mwenye kituoametoa oda ya lita eftu kumi basi zile sh.40 wanamalizana nae huko alafu yeye atakuja kujilipa kwa sisi wateja wake
Ningemwambia mafuta niliweka mwaka jana nikasafiri ndo merudi
WanaswampaVipi kuhusu, mashine nyingine kama za , kusaga, kusindika, jenereta nk.
Zikutwa zimezimwa au zinawaka wanakagua risiti za mafuta yake ?
Au ni magari tu ?
Sio kweli kwa kuwa hujawahi kuwaona auSidhani kama mkuu unachosema kina ukweli wowote. Mimi napita hapo si chini ya mara 16 kwa siku na ni kila siku. Sijawahi ona kitu kama hicho.