Kina 'Sheikh Ponda' Kushtakiwa

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, wameamuru wale wote wanaowashawishi wananchi kugoma kuhesabiwa waburuzwe mahakamani.

Source: TBC1, taarifa ya habari saa 2.

Je ni nani kati ya Ponda na serikali atashinda mvutano huu.
 
Wataalam wa sheria mnasemaje je kuhesabiwa ni lazima? Siungi mkono hoja kuwepo udini kwenye sensa ila nataka kujua je ni lazima au hiyari? Na je ni utaratibu gani unatumika kuwahesabu watz walio njee ya nchi? Naomba msaada
 
swali lako la pili, raia wa tanzania nje ya nji wanahesabiwa katika sensa za huko, sensa ya hapa kwetu tunamuhesabu hata mgeni aliyetua na ndege usiku wa sensa
 
Kuhesabiwa ni sehemu ya wajibu wa raia kisheria. Maana sense husaidia serikali kupanga mipango ya jinsi ya kuwahudumia watu wake ingawa kwa serikali yetu sensa yaweza kuwa dili la kuibia pesa ya wafadhili. Maana serikali yetu huwa haihudumii watu wake na badala yake ni kinyume.

Wananchi wanaibeba serikali kwenye kila upuuzi kuanzia ufisadi na safari zenye hasara za rais wetu. Hivyo, wanaopinga sensa kisheria wanavunja sheria hata kama serikali yenyewe ni ya hovyo. Ponda na wenzake wanatumia dini kujinufaisha kisiasa. Hawana sababu za msingi za kupinga sensa zaidi ya kutafuta umaarufu na ujinga wa kawaida.

Kingine kinchowapa kichwa akina Ponda ni ulegelege na uchafu wa serikali isiyo na maadili wala mipango madhubuti.
 
Sasa serikali imenisikia! Ponda walimlea sana! Na atatoka baada ya sensa kuisha! Ponda amevunja sheria muda mrefu sana! Kwanza na shangaa hadi sasa yuko huru!
 
Kama ni sheria mbona Ponda kaivunja siku nyingi wanamwacha, leo wamegundua nini?
 
Ponda atakua ameonewa,mbona serikali haiwashitaki watu wasiojitekeza kupiga kwa makusudi? Iweje wang'ang'ania watu kuhesabiwa?
 
Uyu jamaa (Ponda) nathani lengolake si zuri, but kama serekali ikijipanga watamfunga tuu!! na akuna vurugu zitakazi tokea.
 
Ponda atakua ameonewa,mbona serikali haiwashitaki watu wasiojitekeza kupiga kwa makusudi? Iweje wang'ang'ania watu kuhesabiwa?

Yeye ndiye aliyetumia madaraka yake kushawishi. Kama alikuwa hataki kuhesabiwa angekaa kimya na wakati wa sensa ajifungie bafuni
 
Sensa ya 2002 wamang'ati waligoma kuhesabiwa mpaka wapelekewe nyama mbichi na serikali kwa kuwabembeleza ikawapelekea,sasa kama kukataa kuhesabiwa ni kuvunja sheria,je sheria hii inachagua watu wa kuwasimamia?,au siku hizi watu wanabembelezwa katika utii wa sheria?
 
Waislamu bana, kila kitu mtume hivi mtume vile, vitu vingine haviitaji kwenda madrasa kuchapwa bakora ndipo upate hii elimu adhimu! Mungu mwenyewe anaenda kwa mahesabu (enzi za nuhu na hata wakti wa kuzaliwa kwa christ) iweje wanadamu? Ifike wakti tutumie bongo si kila kitu oooh mtume!
 
Kuhesabiwa ni sehemu ya wajibu wa raia kisheria. Maana sense husaidia serikali kupanga mipango ya jinsi ya kuwahudumia watu wake ingawa kwa serikali yetu sensa yaweza kuwa dili la kuibia pesa ya wafadhili. Maana serikali yetu huwa haihudumii watu wake na badala yake ni kinyume.

Wananchi wanaibeba serikali kwenye kila upuuzi kuanzia ufisadi na safari zenye hasara za rais wetu. Hivyo, wanaopinga sensa kisheria wanavunja sheria hata kama serikali yenyewe ni ya hovyo. Ponda na wenzake wanatumia dini kujinufaisha kisiasa. Hawana sababu za msingi za kupinga sensa zaidi ya kutafuta umaarufu na ujinga wa kawaida.

Kingine kinchowapa kichwa akina Ponda ni ulegelege na uchafu wa serikali isiyo na maadili wala mipango madhubuti.

  1. Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?
Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati waukoloni Tanzania 1957 ilikuwa na Waislamu asilimia 67, Tukisema kuwa serikaliilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi yakuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK)Tanzania tunakosea?

  1. Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
Mfano0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangazawakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominantreligions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity,about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
Na hapa kuna hoja mbili,
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zotezinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimuzinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhimatakwa ya MK.
Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea,swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumlawake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba zaibada?
Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibadapekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo niwengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsihata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu?Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawamisala misikitini na mabench kanisani?
Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajuawanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitajikumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwahili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumoKristo katika jamii

  1. Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
  2. Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
  3. Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi
TUMEKATAAKWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI
 
ponda hahamasishiwatukugoma ila anamadai kwanini hasikilizwi mbona nikitukidogotu kwaninikishindikane.
 
Back
Top Bottom