Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence.
Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini ahame nchi.
Lissu amekuwa tishio kiasi hicho Hadi serikali inatamani ahame nchi.
Je ni kina nani walitumwa kumshawishi Lissu Ili akubali kuachiwa?
Je why serikali inahaha Lissu aondoke nchini?
Hali ya siasa itakuwaje Lissu akitoka gerezani?
Hali ya siasa itakuwaje akikutwa na hatia na kuhukumiwa kunyongwa?
Hali itakuwaje endapo Samia atatangaza maridhiano na Lissu akakataa kushiriki maridhiano?
Mto wa Mbu,
Zagreb-Croatia.