duh
You have made my day, I salute you!
Mie wala sijaelewa kitu. Labda anitafsirie kwa kiswahili ndio nitapata mantiki ya ujumbe huu😉Etiiii?????
Mie wala sijaelewa kitu. Labda anitafsirie kwa kiswahili ndio nitapata mantiki ya ujumbe huu😉
hongera kwa ubunifu
Poa baadae..
Ha ha ha. Ndio maana mie nikataka isemwe kwa kiswahili ili nielewe ati😛Hii ni gahawa tu, kungekua na ukweli kama hayo maneno yangeleta maana sawa kwa lugha zote. Au hii inawahusu wazungu tu? Japo ni picha, ingefaa sana ikae jukwaa la jokes.