Kheee macho yangu yanaweza fanana na yako?una miaka mingapi?
mmhh....ningekuwa mvulana ningejibu hili swali kwa ufasaha zaidi .....wavulana mje hapa....
we unajua kupika.....?
Hapo chacha mie nadhani huwa napendewaga timbwiri zangu.
.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia
Ngoja nikusaidie Preta, hakuna mwanaume asiyependa kula mahanjumat. Zaidi ni kwamba huwa kuna hii hisia iliyojengeka kwa wanaume kuwa mwanamke aliyekamilika(mrembo) basi anapaswa kujua sana kupika.mmhh....ningekuwa mvulana ningejibu hili swali kwa ufasaha zaidi .....wavulana mje hapa....