Kina Kaka huwa mnajifikiriaje?

Kina Kaka huwa mnajifikiriaje?

Mimi kuna siku kuna fala mmoja alikuwa anamzingua sista nilikuwa nae njiani tunaenda mjini sasa kwa akili yake akajua yule demu wangu.Walikuwa wawili mbona walifurahi? Mimi nilichofanya mpaka leo hawasahau.Kwanza mim mtu ambae sina mazoea nae akileta upuuzi huwa namaliza PAPO HAPO sinaga MSWALIE MTUME.Muislam mwenye itikadi kali sisubiri kipele kuwa JIPU.
 
Na nyie mmezidi kugawa ovyo. Tena bora hao wanaosemwa "UMELIWA", Mi huwa nasema KAZIBULIWA
 
Boys be like
Ebwana vp ushapiga mzigo pale?
_Nisha gonga tena mara 3
Vp yuko poa?
_ ah yuko poa sema gogo
Duh ila linaonekana liko poa kuliwa na lile tako?
_sana yani jitahidi mwanangu nawe utapiga easy tu yule m sipigi tena.
Poa mwana ngoja nikaze.
_Poa poa
Hatariiiii
 
ndio tatizo la kudate na viserengeti boiz... jipatie wazee wa heshima hutaona dharau za viwango hivyo by the way pole sana dada
 
Mimi kuna siku kuna fala mmoja alikuwa anamzingua sista nilikuwa nae njiani tunaenda mjini sasa kwa akili yake akajua yule demu wangu.Walikuwa wawili mbona walifurahi? Mimi nilichofanya mpaka leo hawasahau.Kwanza mim mtu ambae sina mazoea nae akileta upuuzi huwa namaliza PAPO HAPO sinaga MSWALIE MTUME.Muislam mwenye itikadi kali sisubiri kipele kuwa JIPU.
Tufundishane
 
we sunni [emoji16]
 
Aiseeee..kina kaka hawafanyi vyema

Ila pole zuwena kama uliwahi kutana na hayo maneno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom