henryloso15
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 209
- 169
Wadada km mnataka heshima ni bora usithubutu ku date na wakaka ambao unakaa nao karibu/jirani..mambo km haya hayatatokea kabisa
lakini unaliwa kama kawaida.............Mi ndo maana nna uso mkavu ukintizama hata hamu ya kuongea inaisha
Mkuu umenena sahihi kabisa hii tabia ya ajabu sana tena unakuta jingine linasimulia kila kitu ili iwaje sasa huku ni kukosa utu na heshima,Watu wenye fikra finyu wapo wengi kwenye jamii yoyote, jifunze kucope nao. Huwa sielewi kwanini mwanaume akae anazungumzia mahusiano yake kwenye hadhira au azungumzie mwanamke asie na uhusiano nae kama vile ni kitu na si binadamu. Jifunze kuivumilia hiyo hali, ni vigumu kumbadili kila mtu mara moja ila unaweza kuanza kwa kuchagua aina ya wanaume unaotoka nao. Ukitoka na watu walio immature, wasiojielewa na wenye kuchukulia mahusiano kama kitu cha kutafutia sifa utatundikwa kwenye vijiwe kila siku na hutaheshimika kamwe!