Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Watu wenye fikra finyu wapo wengi kwenye jamii yoyote, jifunze kucope nao. Huwa sielewi kwanini mwanaume akae anazungumzia mahusiano yake kwenye hadhira au azungumzie mwanamke asie na uhusiano nae kama vile ni kitu na si binadamu. Jifunze kuivumilia hiyo hali, ni vigumu kumbadili kila mtu mara moja ila unaweza kuanza kwa kuchagua aina ya wanaume unaotoka nao. Ukitoka na watu walio immature, wasiojielewa na wenye kuchukulia mahusiano kama kitu cha kutafutia sifa utatundikwa kwenye vijiwe kila siku na hutaheshimika kamwe!