Kina Kaka huwa mnajifikiriaje?

Kina Kaka huwa mnajifikiriaje?

Mi kuna demu fulani ni nesi hapo Hospitali lina tako zuri nataka weekend niliGONGE maana linaonekana ni tamu,ingawa kuna jamaa namfahamu ASHALILA lakini acha tu na mie niliPIGEMTI!
 
Ndio ujana huo, hata wazee walikuwa na maneno yao wakati wao, dont bother
 
ukiwa unajiheshimu kabisa hakuna mtu atakaye kusemea maneno kama hayo.

Ukiwa mpole, mstaarabu, mkarimu, unatumia lugha nzuri, unavaa nguo za heshima, unaheshimu wengine--nani atakayediliki kukuseme vibaya hivyooo?

kinyume na hapo tegemea maneno kama hayo
 
LIMEKAA POA KWA KUPIGA MITI... ukisikia hivyo jua Wewe una Umbo safi na Sura Ila Hufai kuolewa maana Hakun Mwanaume Anayetaka Presha
 
ukiwa unajiheshimu kabisa hakuna mtu atakaye kusemea maneno kama hayo.

Ukiwa mpole, mstaarabu, mkarimu, unatumia lugha nzuri, unavaa nguo za heshima, unaheshimu wengine--nani atakayediliki kukuseme vibaya hivyooo?

kinyume na hapo tegemea maneno kama hayo

Umenena Mkuu..

Kuna Wanawake Wanajionaga Matawi sanaaa na Hata Salamu hawatoi na wakitoa basi Wanaangalia Mbele tu utadhani Unasalimia Mti.. Sasa Wanawake kama Hao maneno hayo yanawafaa
 
kuna tofauti ya wanaume na wakiume......je hao ni akina nani...?
 
Na nyie mkikaa kibarazani akipita jamaa waambie mashost zako yule keshanila tayari
 
Ukiona watu wanamzngumza hvyo mwanamke ujue nayeye hajiheshim au malaya..ambaye ukimtongoza anatumia maneno hayohayo kukjibu mfano unataka ule halaf uniache..eti unakuta mwanamke ametembea na vijana kwa wazee kwenye mtaa anaoishi hapo lazima auibue huo msamiati KUMLA.
 
ni pande mbil zs saraf nyie mbona huwa mnstusema kuwa

ohhh yule mwanaume hana kitu ana kibamia.....ohhh bao moja tuu limechoka.......mara oooh mashine kubwa halijui kuitumia simtak tena......ohhhhana nguvu za kiume yule...nguvu cjui hana......utasikia mwanaume mwenyewe hanifikishi kileleni..
.mara halin pesa.....mara mm yule simpendi namchuna tuu

yaaaaani nishidaaaaah angalia pande zote ww zuena
 
Zuwenna

Waulize kati ya karoti na mdomo nani anamla mwenzake.?
 
Last edited by a moderator:
Zuwenna

Wanaume wazuri wanaojitambua hawakai vijiweni kuwasema sema wanawake! Tatizo lenu mnagawagawa tu kwa wahuni wapiga ndum wa mitaani kwenu. Ukitaka kuheshimiwa kwanza ujiheshim mwenyewe ! Umesikia zuwena potezea kabisa wanaume wasio na staha ....! Shule mnafungua lini???
 
Last edited by a moderator:
huwa hai let harisa kwa wew usiye husika but huwa board kwa yule ambaye direct yawezeka pale anapopita wameeka wote wale alio wah kuwagawia so heshma inakosekana kwake ko hakujieshmu mwenye,,, nakwambia its nat good kugawa mtaa mzima
 
Pole kwa kuumizwa na hizo lugha.
Kwa ushauri tu ungependa watumie lugha gan??
Tuambie humu tutawafikishia ujumbe.
 
Boys be like
Ebwana vp ushapiga mzigo pale?
_Nisha gonga tena mara 3
Vp yuko poa?
_ ah yuko poa sema gogo
Duh ila linaonekana liko poa kuliwa na lile tako?
_sana yani jitahidi mwanangu nawe utapiga easy tu yule m sipigi tena.
Poa mwana ngoja nikaze.
_Poa poa


Duh hatarii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom