King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Maskini weeh! This is embarrassing!
Maskini weeh! This is embarrassing!
Halafu kuna wakuja wanaona ajabu watu wa mwambao tunavyojifukiza udi, laiti wangejuwa maana yake, wasingeitaja "deodorant", hizo ndio za kwanza kuharibu mazingira ya mwili.
Nakubaliana na FF but at the same time naona ni sawa kuendelea na deo. antiperspirant inabadili balance ya mwili kuweza kucope na jasho. Ila hata kupiga mswaki ni same. Mate kama mate yanapunguza bacteria and when we brush we actualy go beyong the natural process. yule anae piga mswaki twice or trice a day is more likely kunuka mdomo kuliko yule anae piga once a day. But should we stop doing it trice a day?FF, mie nikisikia mtu ana harufu kali ya udi ama perfume naskia kutapika kabisa! Nahisi kama ni camouflage ya kuficha uchafu. Tena na baibui refu limeteka vumbi kiasi chini (no offense meant) najiuliza huyu anabadili kila siku kweli hizi nguo? Napenda a cool fresh smelling scent ambayo hadi umkaribie mtu ndo anakusikia.
Anyways: hivi udi ni antiperspirant?
umeona eeh anajua kukoboa uso 2 mmh. kazii kweli kweli.
Nakubaliana na FF but at the same time naona ni sawa kuendelea na deo. antiperspirant inabadili balance ya mwili kuweza kucope na jasho. Ila hata kupiga mswaki ni same. Mate kama mate yanapunguza bacteria and when we brush we actualy go beyong the natural process. yule anae piga mswaki twice or trice a day is more likely kunuka mdomo kuliko yule anae piga once a day. But should we stop doing it trice a day?
Vile vile siwezi kuacha antiperspirant just because inaharibu balance ya mwili. Nitaitumia for as long as required! Si unaona balaa inayo wakuta walio sahau kutumia?
Nimeipenda hii..............kuna ukweli ndani yake 100% RR................................................................. inabadili balance ya mwili kuweza kucope na jasho. Ila hata kupiga mswaki ni same. Mate kama mate yanapunguza bacteria and when we brush we actualy go beyong the natural process. yule anae piga mswaki twice or trice a day is more likely kunuka mdomo kuliko yule anae piga once a day. But should we stop doing it trice a day?
Ukikosa hata hiyo buku mbili.....unachukua ''ndimu/Limao'' unaikata katikati kipande kimoja unakisugulia kwapa moja na kingine vivyo ivyo...... unapotaka kuoga asubuhi harufu mbaya inaisha na majotro hayata kuwepo ''all day long''Deodorant mbona kuna hadi za 2000 jamani?
FF, mie nikisikia mtu ana harufu kali ya udi ama perfume naskia kutapika kabisa! Nahisi kama ni camouflage ya kuficha uchafu. Tena na baibui refu limeteka vumbi kiasi chini (no offense meant) najiuliza huyu anabadili kila siku kweli hizi nguo? Napenda a cool fresh smelling scent ambayo hadi umkaribie mtu ndo anakusikia.
Anyways: hivi udi ni antiperspirant?
Hoja yako inauzito kiasi fulani. Ukimwangalia huyo mwanaume kichwani karibu na jicho utaona kama ana sweat vile. Nahisi hiyo sehemu ina joto kali!Kwani lazima kina dada kuna nini cha ajabu hapo ambapo mwanaume hawezi kutoa ujuzi wake kwa faida ya wote.
Pili kila mtu anasweat na inawezekana kabisa ametoka nyumbani ameoga ,tatizo ni hiyo nguo aliyovaa material na rangi yake,au katembea mda mrefu,au hapo alipo kuna joto.
Lakini haina maana ndio mchafu sijui hajalelewa vizuri kama wengine walivyojidai kuonyesha hapo juu.
Preta, Lizzy, kama hawawezi kutumia antiperspirant deo (zipo hata za tsh 10 000) basi wavae nguo ambazo hazioneshi hizo traces, kama huyo alievaa saa ya kiume. It's somewhat disgusting.
Nashangaa, vitu vingine watu hupenda kujisemea utadhani mama zao/dada/na watoto wao hawatoki jasho......!!
Hata usiwaulize, walivyolewa uzungu watakuambia kuna surgery sijui Boston ya kufanya usitoke jasho.....!!
Nashangaa, vitu vingine watu hupenda kujisemea utadhani mama zao/dada/na watoto wao hawatoki jasho......!!
Hata usiwaulize, walivyolewa uzungu watakuambia kuna surgery sijui Boston ya kufanya usitoke jasho.....!!