kina dada wafundeni wenzenu...!

kina dada hebu toeni kitchen party kwa hawa wenzenu............................!Wafanye nini kuzuia hii kitu...................... maana vinachemsha balaa..............................!msitumie maneno makali............................wafundisheni kistaarabu ndo wataelewa..................................!



View attachment 45753View attachment 45754
Humu siku hizi hawapo great thinkers!!lugha na thread zao hazina umakini kabisa!Kuna watu wana jasho ila halina harufu.kuna wengine halionekani hivyo ila linatema.Kwa ushauri wangu ni kuwa watu watumie DEODORANTS!kama ukipata nivea au brut ni nzuri kwa kukausha kwapa na kuleta harufu nzuri.Utapata kwa hata shilingi 4000-5000!
 
Back
Top Bottom