kina dada wafundeni wenzenu...!

kina dada wafundeni wenzenu...!

father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Posts
982
Reaction score
1,127
kina dada hebu toeni kitchen party kwa hawa wenzenu............................!Wafanye nini kuzuia hii kitu...................... maana vinachemsha balaa..............................!msitumie maneno makali............................wafundisheni kistaarabu ndo wataelewa..................................!

e (61)[1].JPG IMG_1001[1].JPG
 
Mikwapa inatoa jasho kama ia chemchemu ya asili... Ovyo sana mikwapa hiyoo mikwapaaa hiyooooo
 
kina dada hebu toeni kitchen party kwa hawa wenzenu............................!Wafanye nini kuzuia hii kitu...................... maana vinachemsha balaa..............................!msitumie maneno makali............................wafundisheni kistaarabu ndo wataelewa..................................!

View attachment 45753View attachment 45754

dah asee mimi nikikaa na mtu kama huyu huwa najisikia kutapika mazee..!
 
pole zao,ila kama hawanuki huko kwenye hizo kona za makwapa hamna shida
 
nataka kusema kitu kuhusu kikwapa cha wanaume sema mtaniona alien bure.

Sema tu...huwezi jua...tunaweza tukajikuta tuko wawili wenye fetish za vikwapa....

Mi nshaambiwa eti nina fetish na vikwapa vya mashori lol
 
Back
Top Bottom