Kina dada wa kitanzania

Umenena kaka, dada zetu ni watu wa ajabu sana hawapendi kuwa wakweli na kukubali changamoto mmeulizwa hayo mawigi ya nini wakati una nywele nzuri na za asili? Mikucha ya kubandika ya nini? Mikorogo ya nini? Je uzaliwa na vijikorombezo hivi feki? Semeni ukweli tena wengine unakuta mpenzi wako alikuwa anavaa chupi za pamba safi kabisa lakini ghafla unamuona anaanza kuvaa bikini na thongs kuna nini hapo? Mie ningependa niwe mkwrli wanawake au mabinti tunawapenda sana na hatuwezi ishi bila wao but my dada once told me " Never trust a any woman and you will always be happy"
 
WOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?
Usafi ni hulka,ni tabia na ni mazoea sio kuigiza.Kama mumewe asipokuepo awe mchafu then ukikaribia kurudi ndio ajipambe??Hiyo itakua adhabu sasa,awe msafi na apendeze muda wote kwa raha zake!!
 
Mkuu pumbatupu hapo kwenye red,utafikiri ulikuwa kichwani mwangu-niliogopa nisitupiwe mawe na wenye mtizamo tofauti!

Tatizo mnalipua mada..yeye mkubwa point yake ulikuwa ni namna mnavyojipodoa..kama kuvaa mawigi,kujichubua, kubandika makucha n.k..nadhani hajasema mtu awe mchafu..do you mean kinyume cha kujipodoa ni kuwa mchafu.???..acheni kuiga uzungu..black is beauty...
 
Mkuu El Toro hilo kwenye red nalo neno-its true,kuliko kuja kupata heart attack bure na kila saa uko stand by unasubiria kumuona huyo mshenzi anayefanya mtu wako kujipodoa na kujiongezea madude ambayo wewe huyataki yeye anasema anajipodoa ndio hulka yake na imenza baaada ya miaka 5 ya ndoa/kuwa nyote-aaaaahghhh.
Umenena kaka, dada zetu ni watu wa ajabu sana hawapendi kuwa wakweli na kukubali changamoto mmeulizwa hayo mawigi ya nini wakati una nywele nzuri na za asili? Mikucha ya kubandika ya nini? Mikorogo ya nini? Je uzaliwa na vijikorombezo hivi feki? Semeni ukweli tena wengine unakuta mpenzi wako alikuwa anavaa chupi za pamba safi kabisa lakini ghafla unamuona anaanza kuvaa bikini na thongs kuna nini hapo? Mie ningependa niwe mkwrli wanawake au mabinti tunawapenda sana na hatuwezi ishi bila wao but my dada once told me " Never trust a any woman and you will always be happy"
 
Kujipamba kwa mwanamke ni wajibu. Ila kujichubua ni dhana potofu na kwa mtazamo wangu ni elimu ndogo inayofanya wanawake wajichubue kwa kuwa hawajuhi madhara yake including ngozi kuchakaa upesi. Kuna kitu ambacho mimi pia sikifagilii japo ni mwanamke. KUFUGA KUCHA. Utakuta dada anafuga kucha tena wakati mwingine mikono yote miwili. Mimi siwezi kula chakula cha mtu aliyefuga kucha kwani siamini kuwa hizo kucha ni safi ukizingatia maswala ya toilet. Na sijuhi wanajiswafi vipi na makucha.
 
  1. Najua unaujua ukweli kuhusu post yako ila unataka tu mabishano,anyway kwa mtazamo wangu licha kuolewa wanawake ambao wanafanya kazi lazima wajirembe na kujiweka vyema wanapokua kazini. Lazima waonekane vizuri mana wanakutana na watu mbalimbali katika shughuli za hapa na pale.
  2. Lazima apendeze mmewe amuone mpya kila siku mana wanaume siku zote macho yao ni juu juu kuangaza waliopendeza
  3. Kwani mwanaume akishaoa anaacha kutamani? ili mumewe aweze jivunia na kutamani kueleza even ulimwengu mzima that this is my wife lazma mwanamke ang'are babu.
hivi hata wewe utamtambulisha mkeo akiwa vululuvululu?mkiwa mnatoka sharti avunje kabati jamani heee,kwanza uliteraise hii mada wewe wa jinsia gani????
 
Mtoa mada hebu jaribu kutafuta kitabu kinaitwa "KWANINI MUME WAKO ANANIPENDA", majibu yote utayapata humo.
 
Kwahiyo unataka watu wakishaolewa waache kupendeza?!

Hahaahahaaaa, jamani Lizzy hivi kupendeza kumbe ni kuweka wigi? kujikoboa? Lakini sisi ndo maana hata kila jambo linatushinda maana hebu fikiri mtu anatumia mkorogo awe kama mzungu? anapaka dawa ili makalio/manyonyo yawe makubwa wakati wachix wenyewe wanaupiga vita unene? Haki elimu!!!!
 
Hawaeleweki!!Kwani kuolewa ndio mwisho wa usafi?

Wewe dada unaelewa nini maana ya usafi wewe? Usafi si kurundika makemikali mwilini, madudu ya ajabu mwilini, unakuta dada kavaa liwigi anatisha kweli mimacho kama bundi. mara unakuta mwingine kapaka malipu stiki utafikiri mchuzi wa maharage bwana. Wengi hawafahamu tofauti ya usafi na kujipamba. Wanafikiri akijirundikia madude mwilini ndo ataonekana msafi. Mi ndo maana napenda natural woman.
 
Hahaahahaaaa, jamani Lizzy hivi kupendeza kumbe ni kuweka wigi? kujikoboa? Lakini sisi ndo maana hata kila jambo linatushinda maana hebu fikiri mtu anatumia mkorogo awe kama mzungu? anapaka dawa ili makalio/manyonyo yawe makubwa wakati wachix wenyewe wanaupiga vita unene? Haki elimu!!!!
Mwenye mada mwenyewe anaamini huko ndio KUJIREMBA na ndio kunakomfanya mwanamke AVUTIE.Sasa kwanini wanaogaka kuvutia kwa style hiyo wasijitahidi kuvutia?!Acha wafurahishe nafsi zao na za wanaowangalia kila saa.
 
Natanguliza shukurani dada zangu,Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?
mkuu ulishawahi kutoa hela kumnunulia vipodozi mpenzi wako?
 
subiri mke wako anuke hadi awe anadondosha chawa ndo ufurahi.

Ndo maana wanawake wengi siku hizi ukimuangalia usoni utafikiri mzee ama muathirika sababu ya kutumia makemikali huku akifikiria ndo usafi. Halafu huo usafi ni wakichwani na uso tu tu?
 
Mwenye mada mwenyewe anaamini huko ndio KUJIREMBA na ndio kunakomfanya mwanamke AVUTIE.Sasa kwanini wanaogaka kuvutia kwa style hiyo wasijitahidi kuvutia?!Acha wafurahishe nafsi zao na za wanaowangalia kila saa.

sasa nimekuelewa lizzy. hivi hiyo ndo picha yako? naomba uniPM jina lako nikuadd kwenye facebook yangu.
 
Wewe nawe wa wapi huko ambako wake za watu hawajipendi? Ndio nyinyi mnawafuja wake zenu halafu mnatafuta wanaong'ara barabarani! Acha tujirembe kadri tuwezavyo na wala si wote wanajichubua na kuvaa mawigi,wapo wanaosuka,wenye dreads,nywele fupi,wanaochora hina na piko,wanaoiremba ngozi ibaki na rangi ya asili ila inayovutia na urembo mwingineo kadri ya matakwa na uwezo wa kifedha wa mtumiaji. Mwanamke kupendeza!!
 
Wewe dada unaelewa nini maana ya usafi wewe? Usafi si kurundika makemikali mwilini, madudu ya ajabu mwilini, unakuta dada kavaa liwigi anatisha kweli mimacho kama bundi. mara unakuta mwingine kapaka malipu stiki utafikiri mchuzi wa maharage bwana. Wengi hawafahamu tofauti ya usafi na kujipamba. Wanafikiri akijirundikia madude mwilini ndo ataonekana msafi. Mi ndo maana napenda natural woman.
we kama ulikutana nae wa hivo basi huyo hajui kujipamba alikurupuka tu ilimradi nae aonekane. Mwanamke lazima ujijue, kuanzia umbo na ngozi yako na hata ukijiremba uvutie na sio kuvamia vamia tu hatimae unakuwa kituko....inahusu!! Mwanamke lazima ujipatie bana, hata kama ni wigi we tupia tu shurti liwe na ushirikiano na kichwa na likufanye upendeze na kuwa comfortable every where. Ng'arisha kucha hiyo ilmradi uwe na uwezo wa kuitunza (sio mkono wa kulia mi mwenyewe sipendi). Too much mkorogo is harmful. Kuwa smart na ujipende we mwenyewe na sio kwa ajili ya kumvutia mtu mwingine. Binafsi sipendelei sana kujipamba lakini nampenda mwanamke anaejua kujipatia, anaeutendea haki mwili wake linapokuja suala zima la kujipamba na usafi kwa ujumla! Hao wanao apply lipstick kama mchuzi wa maharage, waache...wamevamia fani hawana ujuzi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom