Kina dada, this is too much

Mbona unalialiaaaaa kwani we umejipangaje.....kwa lafudhi ya kichaga....hahahaha pole
 
Kuna mmoja nilimtokea tukapanga miadi baada ya wiki 2 siku ya tatu baada ya kumtokea akaniambia nimuazime200000، na kisema atarejesha after one week,man nikajiuliza je nikikonga nae nyoyo ntamdai? Je akininyima ntamdai? Au ndio bei yake?,je asipotokea? Man nikakata line.
 
Wanawake sikuhiz wamekua majasiri sana yan wengne ukiwaona watt wazuriii lakn mambo wanayoyafanya kama majambazi"
Tumewawezesha sanaa sasa naona wameweza wanataka kutupanda kichwani.
Haya ni ya kweli mkuu. Tena yamenikumba binafsi kabisa yani
 
Huo sio urijali ni ubwege,urijali hauko kwenye kupigwa mizinga,urijali uko kwenye kuitafuna mbunye.

Hata hivyo the strong eats the strong prey,simba au mbwa mwitu hawali msoga uliojifia,hao ni fisi,mimi ni simba sili ease prey kama mizoga.
Ur income constraints ndio upelekea kuongea hivi umekurupuka jombaa unapaswa ujipange,huwezi kuhonga kaa pembeni,utakula vile vya wamama wa kihaya pale temeke,hata ukiwa na dushelele refu mpaka gotini bila mpungu you are nothing,
 
mbavu zangu
 
nasikia kuna mtandao wa Badoo unahusika na nini?
 

Hebu acha roho mbaya wewe mwanamke, sasa sisi masikini tutapataje tamu yako kwa mtindo huo!?
 
Sasa huzami chumvini wa kazi gani,pesa yangu hupati bora babu ajilie chake bila kuibiwa...teh teh mkuu tuishie hapa naona topic inabadilika
Babu anapiga mzigo kiuhakika au mpaka atumie sildenafil, muhogo, korosho, parachichi, pweza nk!?
 
Mnajua wanaowapiga mzinga usikute hawapiti humu,mnakuja kulalamika huku haisaidii mwambie huko huko...humu kwa mnavyotusakama hivi bado kuna mtu anawaomba vihela vyenu tu...muwe mnawaambia huko huko bana
Hahaha...ila kweli huku wadada wanasakamwa haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…