kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,509
Nakubali tuache ila nadhani wengi watakuwa wamejifunza kuwa mwanamke akikutawala lazima akudhalilishe kwa kukulazimisha Chumvini. Chumvini ni mfumo jike. Jpili njemaSasa huzami chumvini wa kazi gani,pesa yangu hupati bora babu ajilie chake bila kuibiwa...teh teh mkuu tuishie hapa naona topic inabadilika
Huo mfumo jike mmeuleta wenyewe mkatuzoesha msitafute mchawi ni nani,mmoja kama wewe ukikataa wengine mia wako tayari kuzama bila kuombwa...jumapili njema piaNakubali tuache ila nadhani wengi watakuwa wamejifunza kuwa mwanamke akikutawala lazima akudhalilishe kwa kukulazimisha Chumvini. Chumvini ni mfumo jike. Jpili njema
Hahahaha yah ukipenda boga penda na maua yake,maana yake ukipenda papuchi upende pia na kugharamiaUmenikumbusha mbali sana. Wasumbufu sana sometimes. Mtu unamwambia ukweli no room for you yumo tu.
Usumbufu ukizidi piga mzinga hallo Nina emergency naomba laki 5.
Ndo itakuwa mwisho
Sio kuwasema,mnaambiwa ukweli,mizinga ya kibwege bwege hiyo imepitwa wakati wake,hao naowasema wako humu na wengine hawwako humu lakini ujumbe utawafikia tuMnajua wanaowapiga mzinga usikute hawapiti humu,mnakuja kulalamika huku haisaidii mwambie huko huko...humu kwa mnavyotusakama hivi bado kuna mtu anawaomba vihela vyenu tu...muwe mnawaambia huko huko bana
Ijulikane basi kama ni machangu tujue sio mnajifanya descent humu kumbe mnauza nyapu,kama mnauza semeni wazi mnauza.Promo @ Work.
Heri nife masikini kuliko kuhongwa na mwanamke,utakua unawahonga wanaume wenye tabka kama zako,mimi mwanamke anaanzaje kunihonga kwa mfano. Hata nikifa leo mwili wangu hauwezi kukubali hongo yamwanamke@ work big time,utakuta ni elfu 20 tu ya mafuta mtu anakuja kulia lia huku....mbona sisi tunazowahonga hatuwatangazi?
Huo sio urijali ni ubwege,urijali hauko kwenye kupigwa mizinga,urijali uko kwenye kuitafuna mbunye.Mwanaume rijali haogopi kupigwa mizinga,kuvuliwa chupi unapenda ili ku-share the portion of cake you have eh it becomes shida tena unafungua na thread kabisa jf,wanaume wa kulalama kama wewe kwenye mfumo wa survival for the fittest you will never survival.
Wajiweke wazi tujue kua ni machangu,sio kujifanya wastaarab kumbe ni machangu wanauza mbunye.hao unaowapata huko ni madada poa, hujui kwenye vijiwe vyao wanawindwa na mkono na washeria, siku hizi wamehamia kwenye mitandao ya kijamii
Ijulikane basi kama ni machangu tujue sio mnajifanya descent humu kumbe mnauza nyapu,kama mnauza semeni wazi mnauza.
Tafadhali nishirikishe jibu lako.Mbona nimeshajibu