The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Haha...Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu,
Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchacje kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara sim imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.
Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta..
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
Sasa hao wanaokupiga hiyo ni mizinga ni memba wa hapa au unataka kutuchosha tu? Leo ni jumapili ebo!!!Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu,
Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchacje kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara sim imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.
Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta..
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
Mnajua wanaowapiga mzinga usikute hawapiti humu,mnakuja kulalamika huku haisaidii mwambie huko huko...humu kwa mnavyotusakama hivi bado kuna mtu anawaomba vihela vyenu tu...muwe mnawaambia huko huko bana
Huwezi jua labda wamo humu kama members au guests......Sasa hao wanaokupiga hiyo ni mizinga ni memba wa hapa au unataka kutuchosha tu? Leo ni jumapili ebo!!!
Mhhhhhh hayaaaHuwezi jua labda wamo humu kama members au guests......
Promo @ Work.
Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu,
Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchacje kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara sim imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.
Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta..
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
Kwa michambo tunayopewa daily hawawezi kuwa humu...au watakua wagumu sana sijui labdaHuwezi jua labda wamo humu kama members au guests......
@ work big time,utakuta ni elfu 20 tu ya mafuta mtu anakuja kulia lia huku....mbona sisi tunazowahonga hatuwatangazi?Promo @ Work.
Duuh. Kumbe umo.@ work big time,utakuta ni elfu 20 tu ya mafuta mtu anakuja kulia lia huku....mbona sisi tunazowahonga hatuwatangazi?
Hapana nimesema kwa niaba...mimi sina tabia hizo,teh bora nikanunue handbag mpya kuliko kumuhonga me...Duuh. Kumbe umo.