Kama uliguswa sana mbona hukumwambia 'dada this is too much kwakweli'????!
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa maisha?? ama fasheni?? lakini kwa hili its too much..napitia kwenye ka mgahawa kupata kifungua kinywa..nakutana na binti mrembo kavalia vazi lake murua la kanga nyepesi..limempendeza kweli lakini kasoro moja kubwa..sehemu ya mapaja yooote ipo wazi..yaani unaona kila kitu unachohitaji kuona...halafu kaweka pozi mahali ambapo kila anaeingia anamuona..kumbuka si saa nane usiku wala si eneo la club?? hapana ni saa moja asubuhi na ni mgahawa mahali pa heshima..tuseme biashara matangazo..fasheni?? ama maisha magumu mpaka imefikia hatua ya kuifanyia miili aliyotupa Mungu kama vitega uchumi?? Kina dada hembu mjiheshimu japo kidogo..tunawapenda sana maana nyie ni mama zetu..na tunajisikia vibaya sana kuwaoneni uchi kila wakati sana sana nyakati za asubuhi kama leo..
Kumbe the reason behind nyie kuvaa uchi siku hizi ni kuwa mnakaribia umalaika sio?? kwahiyo wale wanaotembea uchi pale karibia na kituo cha afrika sana nao ni malaika woote..nimekuelewa sasa..angels of evil..Hiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).
Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
Kumbe the reason behind nyie kuvaa uchi siku hizi ni kuwa mnakaribia umalaika sio?? kwahiyo wale wanaotembea uchi pale karibia na kituo cha afrika sana nao ni malaika woote..nimekuelewa sasa..angels of evil..
​ni9a yako ulikuwa unataka kuyaona hayo yote.................PIGA KIMYA.yaani unaona kila kitu unachohitaji kuona...
hicho kitabu ulichosoma kinacha justify kuwa mtu kutembea uchi ni malaika kakichome moto, maana utahukumiwa nacho:Hiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).
Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
MUNGU mweyewe aliwafanyia nguo Adam na Hawa kwa kuchuna ngozi ya mnyama dada nadhani hiyo siyo biblia unayosomaHiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).
Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
Kama uliguswa sana mbona hukumwambia 'dada this is too much kwakweli'????!
Umemuona dada mmoja unasema kina dada na ukiwaona kina dada utasemaje??