Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,671
Dada zanguni changamkieni Bonge la BWANA mnalionaje?
Namchukia nani?
Namchiukia nani?
Huyu ni Bonge la bwana anatafuta mrembo JF
![]()
Dada zanguni changamkieni Bonge la BWANA mnalionaje?
Umepata ridhaa yake? thibitisha.
Masharti ya JF hayaruhusu.
Hizo swag zake kama za 90's vile...
awp utajikuta umepata kimeo zaidi ya huyu
Kumbe umeshajua hiki kimeo, acha basi ukorofi wa kuwadanganya viruka njia wetu. Hapa usikute Evelyn Salt kishakurupa
Yerewiiiii.........Afu wewe hadi nije nimrukie baba ako ndo utanikoma