Kumbe wanaume siku hizi ni kama ng'ombe na jogoo.
Acha tu wanawake tubaki kuwa wanadamu nyie endeleeni kuishi kama wanyama
Mungu hakukosea alipoumba binadamu na wanyama na kumpa mwanadamu uerevu na akili kulioko mnyama.
charity begins at home kama umekupia kwenye mufamiliya wa wanawake kila kabila baba yako analo, tuwache sio tulioleleea na baba na mama haijalishi walichepuka au lah ila ndani ya nyumba nilimuona baba na mama na ndio familiya ya ndoto yangu