The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Mwanaume huwezi kua na mwanamke mmoja sio mama yako. Unafiki ni mbaya sana heri sisi ambao tunasema mungu hayupo kuliko wanafiki wanaosema mungu yupo na hawafuati maagizo yake ya kuwataka kua na mwanake mmoja na mmoja pekee.wakristo wapo kupinga maagizo ya Mwenyezi Mungu siku zote inhali wanaishi kwa unafiki.Mwanaume hawezi kuwa na mke mmoja maishani
yaani mwanaume amuingilie mwanamke mmoja tu adhabu yake ni moto wa milele jehanamu
wakristo wote motoni na kitimoto chaoMwanaume huwezi kua na mwanamke mmoja sio mama yako. Unafiki ni mbaya sana heri sisi ambao tunasema mungu hayupo kuliko wanafiki wanaosema mungu yupo na hawafuati maagizo yake ya kuwataka kua na mwanake mmoja na mmoja pekee.
shida ni wanawake au wanaume? kwanini mnaoa mke mmoja?Hawatakuelewa, japo umewaambia lililo kweli
Kumbe wewe kuna mada uko nayo kichwani! huu uzi ni catalyst tu!!wakristo wote motoni na kitimoto chao
Ninao wawili, nkijaaliwa desemba naanza tafuta watatu... Hawa hawanitoshishida ni wanawake au wanaume? kwanini mnaoa mke mmoja?
utanitafuta basiNinao wawili, nkijaaliwa desemba naanza tafuta watatu... Hawa hawanitoshi
Usijali, kama vile vigezo vinne vinasoma nafasi utaipatautanitafuta basi
Si kila mtu anaakili kama unavyofikiria, wako wanaume ambao wameridhika na huyo mke mmoja na hawachepuki,shida ni wanawake au wanaume? kwanini mnaoa mke mmoja?
fine hawachepuki? je wameridhika? hawana mfadhaiko?Si kila mtu anaakili kama unavyofikiria, wako wanaume ambao wameridhika na huyo mke mmoja na hawachepuki,
Mngetoa tu ushauri walau kulikoni unafki wa kuchepuka( kwa wachepukaji) heri wasioe mwanamke mmoja japo pia haizuii kutoka nje. Ila wapo nna hakika walio tulia kwa wake zao kiroho safi!
wakristo wapo kupinga maagizo ya Mwenyezi Mungu siku zote inhali wanaishi kwa unafiki.Mwanaume hawezi kuwa na mke mmoja maishani
yaani mwanaume amuingilie mwanamke mmoja tu adhabu yake ni moto wa milele jehanamu
fine hawachepuki? je wameridhika? hawana mfadhaiko?
Habari ya wakati huu wakuu.
Kina dada haiwezekani nyumbani kwenu au kwako ufurahie jogoo mmoja au uone ni sawa jogoo mmoja kua na majike(maetea 10) katika banda lake au dume moja la ng'ombe kua na majike 5 alafu ulalamike mume wako kua na mchepuko.
Huo naiuita unafiki, mbona majumbani kwenu hamfugi jogoo kumi na majike kumi badala yake mnafuga jogoo mmoja na majike 10 na hata mgeni akija magojoo ndio huchinjwa na kuacha moja au kuuzwa kwa imani kwamba moja litatosha kuudumia matetea kumi.
Acheni unafiki ndugu zangu, watendeeni waume zenu sawa na mnavyoyatendea majogoo au madume ya ng'ombe au mbuzi katika majumba yenu.