Kina Cheupe/ White wataaalam wa chips

Kina Cheupe/ White wataaalam wa chips

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,276
Watu wanaoitwa Cheupe au White wameumbwa na kipaji cha ajabu cha kutengeneza chips.
Tafiti nawe utagundua
 
nenda pale kiwangwa bagamoyo utamkuta.. jamaa noma
 
Msinikumbushe chewupe, zamani late 90's pale anga za faya kwa nyuma, alikuwepu chewupe maarufu sana na chips zake zilikuwa bomba mbaya. I remember my kaka Lusako Kamwela, I love u
 
Back
Top Bottom