BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
NN shikamoo.
weee atasubiri sanaNyani Ngabu bhuana!!! Nilifikiri Miss Natafuta ameshaliwa
weee atasubiri sana
You're welcome. I was being straight, no games.
Perfect..... hello from the other side.....
Hello from this side....
Hello, .........
"......can you hear me?
I'm in California dreaming about who we used to be.......
When we were younger and free........."
Hey Kasie, how you doin?
My name is Nyani, last name Ngabu
I was wondering if I could take you out
Show you a good time, invite you to my house...
Hahahahaaa you pumpkin squash......
Thanks for the invitation. ... but.....
There's a place I'd like to take you before you take me out.....
It's mountain area where you'll see all kind of plantations, mother nature.... beautifal animals including monkeys, nice hotel with soft air breeze....
Swimming like ducks in the swimming pool and diving in the bedrooms.....
It'll be just us. ... just the two of us......
Then after that I'll accept your offer
Perfect..... hello from the other side.....
Yap its a hot game since there is no prior preparation!!! Tam sana hizo halaf ukishamla kesho yake unakuwa kama humjali hivi na kuterm kama ilikuwa bahati mbaya, kama ulimla kisawasawa lazima ataanza kukubembeleza hapo muombe game tena afu umpe full beam!!..... Hata kama anajamaa yake atamuacha tu.naitamani hiyo na mimi nionavyo mgegedano mzuri huwa ni ule ambao mtu na mtu wanakuwa hawajapanga.
Right back atcha!
Salaam wadau,
Hebu tuachane kidogo na mambo ya UKUTA. Huo uliporomoka jana baada ya kuwashwa kwa tingatinga.
Sasa bana, ni hivi...na hapa nazungumzia kwa wanaume ingawa hata kwa wanawake inaweza kuwepo.
Inatokea unakutana na mtu sehemu. Mnabadilishana namba na nini nini...si unajua tena siku hizi mambo ya haya mamitandao ya kijamii. Sijui twita, instagramu, na ushuzi shuzi mwingine kama huo.
Mkishabadilisha hivyo mnaanza kuchati kikawaida tu. Mara mtu unaamua kujaribu kutongoza. Kimzaha unamuomba mtoke. Wewe hapo unadhani mwenzio atakukatalia, kwa hiyo unakuwa tayari ushajiandaa kusikia 'hapana'.
Basi unarusha ndoano yako. Unamuomba mtoko. Kabla hajakujibu, unakuwa na shauku ya kuona jibu lake licha ya kuwa unahisi atakataa.
Mara jibu hilo, linaingia. Unalisoma...mwenzio kakubali. Unapigwa na mshangao kwanza...maana ulikuwa hutegemei akubali.
Unaanza kuwaza sasa ujipange vipi maana kumwambia kuwa ulikuwa humaanishi huwezi.
Ila ndo hivyo tena, mwenzio kakubali na wewe unakuwa huna jinsi, unajipanga.
Siku ya mtoko inafika, mnakutana, mnaendelea na mambo yenu.
Mbele ya safari mtaamua wenyewe itakuwaje.
Mpo ambao imeshawahi kuwatokea hivyo?
Unajiona mjanja?sijui wanawake wa siku hiz wana nn??
yaan ndan ya huu mwezi uliopita nimezikaza papuch 3 kimasihara wala hata ckutegemea!
wanawak mmekuwa warahis mno badiliken ban!