Kimzaha mzaha

Siku hizi ni ngumu kukataliwa, Kwenye simu tu unakubaliwa achilia mbali hizo idea za kwenda DATE ndio anaona UZUNGU atakukataa vipi
 
Hivyo eeh?

Maharage ya Mbeya hao...!!

Mama huruma, chips kuku, mlenda mlenda, akishikwa to kalowa... mguu kwao kwenda hewani sio shida...

Kama wa pwani, wee, fasta uh nakula hata haulizi umenawa..!!

Wapo wapo tu... ndio hivyo...

We haijawahi kukutokea hiyo?
Zamani sana.

Vitoto vitoto vya Midwest vikiwa vinataka kuja Gotham havina pa kufikia vilikuwa vinatoa sana hizo.

Kuna kimoja kilihamia nyumbani karibu mwezi nikaona bora nihame mimi nyumba nikiachie, kikasoma ujumbe.

Kuanzia hapo nikaacha mchezo wa kujambisha.

Nang'ang'aniwa sana halafu inaleta tabu.
 
Siku hizi ni ngumu kukataliwa, Kwenye simu tu unakubaliwa achilia mbali hizo idea za kwenda DATE ndio anaona UZUNGU atakukataa vipi

Offer ya mtoko ndo killer kabisa.
 
Ama kweli watu mna bahati zenu aiseeee.....[emoji15] [emoji15]
Mbona mimi sijawahi kuokota panzi alie dondokea kwenye fungu la siafu....[emoji39] [emoji39]
 
Ha ha ha, hii thread bana zaidi ya asilimia 80 wanasema wako hivyo.

Natamani wadada/wanawake wajitokeze nao waseme inakuwaje!
 
Haha there you go.

That's too bad, coz the missment and what not is mutual. On the battery low note tho, beware, coz a brotha got more than enough juice.
 
Hahaha flirt- hii ni njia kuu ya kupunguza msongo wa mawazo

ukiwa addicted ngumu kuacha
 
Ha ha ha, hii thread bana zaidi ya asilimia 80 wanasema wako hivyo.

Natamani wadada/wanawake wajitokeze nao waseme inakuwaje!
Hahaha mambo yako kabisa haya!
 
Chips funga hii ipo sana kwa wanawake na wadada wa mbeya

Mkuu umenikumbusha back in deiz, hapo kwenye 'wadada wa mbeya'. You are damn right.

Maharage ya Mbeya, moto wa karatasi yeshaiva!

-Kaveli-
 
Sijakuelewa hapo...wanasema wako hivyo kivipi?

Yaani imewahi kuwatokea?

Yeah, nilikuwa namaanisha kwamba wengi wanasema huwa inawatokea mara kwa mara!

Najaribu kuwaza upande wa pili sasa wa walengwa, huwa inakuwaje?
 
Yeah, nilikuwa namaanisha kwamba wengi wanasema huwa inawatokea mara kwa mara!

Najaribu kuwaza upande wa pili sasa wa walengwa, huwa inakuwaje?

We haijawahi kukutokea?
 
Hahaha mambo yako kabisa haya!

Mimi ikitokea nilikuwa nategemea kuzungushwa nikakubaliwa haraka bila hata kipingamizi stimu zinakataga.

Ila kuna ile una nyege na unataka fasta akizingua nyege zinaisha na humtafuti tena, hata akianza kukutafuta baadae huna muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…