Waziri mkuu si alishawakilisha Kagera? ikumbukwe Tanzania ina majanga kila siku tena ni mengi mno. sasa huo ukimya mnao question mngependa mtu ajigawanye mara ngapi? jipe mfano wewe na familia yako, ni mara ngapi mmeweza kuwepo kwenye tukio wote kwa pamoja iwe msiba, sherehe, kuona mgonjwa N.K? mimi nahisi Pasco unalo unalolitafuta au unalo unalojua na kama unalo unalojua basi kufwa free ku share nasi. After all sharing is caring. Sambaza upendo mkuu.
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.
Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.
Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.
Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.
Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.
Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.
NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.
Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .
Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.
Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.
Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .
Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .
Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .
Nawatakia Furahi Dei Njema.
Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.
2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.
Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Pasco unanifurahisha huna tofauti na kinyonga.Ukipata tenda serikalini na mashirika yake unakuwa CCM kwa muda.Tenda ziikiisha unarudi kule UKAWA ulikokuwa kwa Lowasa.
Haya PASCO
Post za kizushiWajemeni,

Akizungumza, Mara oh anakurupuka etc. Safi sana JPM maneno machache vitendo lukuki.Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye mseme, Mods naomba mfute Uzi huu.
Sio tunapenda ila ametuzoesha kutenda kwa kutumia matamko na kama vipi tunayatolea nje.Nilichogundua ni kuwa watu wanapenda sana kumsikia kila mara. Akiwa kimya akifanya kazi hawaamini mpaka wamsikie. Hivyo hii inatoa picha kwamba anapendwa sana na wananchi licha ya wanaharakati wa humu kumpigia kelele.
Kuna magugu kwenye system na ni wakati muafuaka wa kuyaondoa --- expect a purge! huoni hela za madili hamna!!! hence vita kila kona ili madili yaanze tena BUT kwa msaada wa Mwenyezi Mungu hawamwezi kiongozi wetu.Kimya kingi kina mshindo
Unaua mfumo kwa matamko alafu utegemee ubakiwe na mfumo !!??Uzi huu unadhihirisha kwamba bado sisi hatuamini katika mfumo. Mnataka kila jambo na kila kitu lazima yeye pekee aongee. Sasa zile kelele za kusema ajenge mfumo, kwamba anafanya kazi zote peke yake, au anaingilia taasisi nyingine kumbe hazina maana tena. Kumbe shauku yetu na maridhiko yetu ni kumsikia yeye pekee na si zaidi yake!
Watanzania aliyeturoga alishakufa siku nyingi. Hatujui tunataka nini mpaka sasa.
Subira .hii methali imepitwa na wakati .sasa hivi unafuata unachosubiri huko huko juu,toka Uhuru tunasubiriaga tuu !!Tuwe na subira kidogo jamani..
Am a GT,that's why I reserve my opinion.
Mkuu Pasco unataka tamko la mtu binafsi au la Serikali? Baada ya jibu lako nitaendelea!Wajemeni,