Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

nakuaminia Wesley
 
Naamini kwa dhati kabisa kuna mtu sasa hivi anapitia katika wakati mgumu sana kuliko tunavyoweza kufikiri.Mtu anaweza kujiona mwenye nguvu na mamlaka ya kumpatiliza kila anayemuhisi kuingilia maslahi yake,anaweza kuanzisha vita na kila mtu,lakini kadili anavyozikanyaga haki za wenzake ndivyo naye anavyojiingiza katika vita yake binafsi na nafsi yake.

Ni afadhari mtu ukateswa na maumivu ya mwili kuliko kuteswa na "KARMA", ukiyaruhusu matendo yako yakufikishe hatua ya kuuondoa utulivu wako wa ndani,unakuwa " umejiangika mwenyewe msarabani" na kuiruhusu KARMA isimame kinyume na matendo yako ya kidharimu uliyoyafanya dhidi ya wanyonge na wasio na nguvu ya kujitetea.

KARMA ipo kazini,imesimama badala yetu,inajibu mapigo ya haki kutokana na maneno na matendo ya muhusika.Hili ndilo linaloweza kuwa sababu ya hisia zetu,ngoja tusubiri hatima ya vita hii kuu ya kidhamiri ifanyikayo ndani ya mtu,naamini mpambanaji wetu"KARMA"atatuwakilisha vizuri katika mpambano huu usioonekana.
 

Kwakweli hali hii inatupa wasiwasi!
WHAT'S COOKING?
 
Nasikia huyo bwana amesafiri kwenda Kazakhstani toka mwishoni mwa wiki iliyopita. Lengo la safari yake ni kuweka mambo sawa kuhusiana na kushtukiwa kwa deal la upigaji wa mabilioni ya shilingi katika ununuzi wa ndege za mtumba lakini zilizohalalishwa kuwa ni mpya (New Brand). Safi sana Zitto Zubeir Kabwe.
 


Tutajuaje kama mna imani bila kuwatahini?

INAONEKANA UNAOMBA USIKU NA MCHANA HALI IZIDI KUWA MBAYA NCHINI ILI UPATE JUKWAA!
'KARMA' HAITAKUBAGUA!
 
Lakini Mkuu si aliahirisha ile issue ya Zambia akamtuma mama yetu ili yeye ashughulikie hili janga la Tetemeko,! Hili nafikiri ndio linasababisha wakina Pasco kuhoji,. Tuna majanga kila kukicha yes,! ila Hili lilifanya mkuu aahirishe mwaliko wa Zambia kwa ajili ya hili, sasa inapoakuwa kimya inaleta maswali,.
 
kuna sauti moja ilisikika mitaa ya ubungo kibangu ikigawa pesa...mara ikaenda wenye baraza la iddi ikagawa pesa....sauti..sauti...lakini watu wakapatwa na tetemeko sauti ikasinyaaa....kimyaaaa...sauti....sauti

sauti......ina kipande cha chuma moyoni...sauti...sauti...sauti.....tememeko limetetemesha hadi sauti

Mtoaji wa sauti ni Mungu na mchukuaji wa sauti ni Mungu
 
Ukimya wa mtu unaweza kutokana na mambo kadhaa, mawili kati ya hayo ni Inawekana mtu huyo kapatwa mshtuko mkubwa au hayo yaliyotokea yalitarajiwa!
 
Mambo mengine ni kwa vitendo sio kwa matamko, maneno tu hayata leta faida yeyote.
 
Tutajuaje kama mna imani bila kuwatahini?

INAONEKANA UNAOMBA USIKU NA MCHANA HALI IZIDI KUWA MBAYA NCHINI ILI UPATE JUKWAA!
'KARMA' HAITAKUBAGUA!

Ninyi si mna nguvu,acha "KARMA" isimame kwa niaba ya wanyonge na wasio na nguvu wanaodhurumiwa haki zao.Kwa yaliyofanyika Zanzibar na kauli zilizotolewa juu ya wale wanaodai haki,hata kama nimehubiriwa kusamehe 7X70,siwezi kuusamehe uovu ule,acha "KARMA" ifanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…