Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Pasco: unauliza kishabiki na nyuma ya pazia la swali lako kuna dalili wazi na usiasa.

Labda na mimi nikuulize Pasco, kuhusu tetemeko ni jambo lipi unategemea kulisikia ambalo wahisi kuna ukimya?
 

Sasa naanza kumwelewa anavyoomba tumwombee. Tuna vingi vya kumuombea... sio kuongoza nchi peke yake.

Ngoja tuweke akiba ya maneno kwanza
 
Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco

Pasco unanifurahisha huna tofauti na kinyonga.Ukipata tenda serikalini na mashirika yake unakuwa CCM kwa muda.Tenda ziikiisha unarudi kule UKAWA ulikokuwa kwa Lowasa.

Haya PASCO
 
Sasa hivi hakuna hoja za viroja wala maneno bila uhakiki na utafiti uliojitoshereza.

kampeni zifikie mwisho sasa taasisi za utawala zionyeshe mwenendo...
 
Pasco unanifurahisha huna tofauti na kinyonga.Ukipata tenda serikalini na mashirika yake unakuwa CCM kwa muda.Tenda ziikiisha unarudi kule UKAWA ulikokuwa kwa Lowasa.

Haya PASCO
Kwenye hii thread.Pasco alishatowa angalizo ni kwa akili kubwa tu, sasa wewe poyoyo unadhani ni lazima kila thread uchangie hata kama imekuvuka upeo?
 
Labda wamemziba mdomo kuhofia atakachoongea...
Kwenye ile series ya 24 hours jamaa walipata raid incompetent wakawa wanalazimika kumuweka lock up pale Ikulu halafu zile issues wanazijadili na rais mstaafu, wakimaliza wanamkabidhi yeye (rais) akazisome na kyzitolea ufafanuzi kwa taifa mbele ya wanahabari.
 
Hahaha uzi kama sio Gt upite kimya ,mwisho hapo Pasco sio Gt ila ndio kaleta mada
Sasa kwanini hukukaa kimya ukaleta uzi ?

Kichwa kinauma

Anyway huo ukimya unatisha na kuzidi kukaa kimya kunafanya binadamu wengine wazidi kufikiri nje ya mada yako ,
Hivyo hilo la kudiscuss ideas badala ya mtu naona halina uzito wacha nipite zangu mimi nisiye GT
 
Niliuliza swali hapa, huyu jamaa kafuta ziara ya Zambia kutokana na tetemeko sasa mbona hakuna hata kapicha kamoja tu kakimuonyesha akiwapa pole wahanga wa tukio lile au akitembelea maeneo yaliyoharibiwa!? Hakukuwa na jibu Mkuu. Mie nahisi kimepanda sasa wanamficha mpaka atulie ndiyo wamruhusu tena kuonekana hadharani.

Hii hali ya kutuficha Watanzania kile kinachoendelea si sawa hata kidogo.

 
Pasco acha mikwala!
Jamaa anatoka povu sana.kila akiongea anatoa point kwa wakosoaji.naona safari hii anamezeshwa desa.pia aliharibu sana kule Shinyanga na kukataa kuwafidia wahanga wa mafuriko.anaona akijitokeza sasa na kutoa kauli ya msimamo wa kusaidia kurejesha nafasi za wahanga wa Kagera itakuwa double standard,wakosoaji watamvamia bila kujari freedom of expression.
Mwisho kwa nchi makini kama USA hata kifo cha mtu mmoja wakati mwingine kinamfanya mhusika atoe kauli badala ya ukimyaa.so jamaa yuko pant down ndio maana amekituliza.
 
Asante sana Pasco kwa kutambua upeo wetu humu magreat thinkers.

Tumuombe Mungu azidi kumlinda mheshimiwa rais atekeleze majukumu yake kwa watanzania.

Kila la kher raisjitafakar
 
Kuna kipindi viongozi wetu huwa wanapenda kutetea hoja zao kwa kutolea mifano nchi zingine na zaidi wengi upendelea kuitaja Marekani. Sasa mie hapa napo pamenigusa kidogo, hebu tuachane na Marekani Taifa kubwa sana na kwangu mie huwa sioni usahihi wowote kujilinganisha na Marekani kama ambavyo hata wao (watawala) leo wasingependa kuilinganisha nchi yetu na Marekani katika hili tukio, tokea day 1 hadi hivi sasa.

Ila naelewa zipo nchi nyingi sana tena mifano ya kutosha, tujilinganishe walau na majirani zetu Afrika na zile zingine za kawaida. Katika matukio makubwa ya hivi hawa wenzetu wao huwa wana react vipi na kwa mda gani? Mfano nzuri ni Kenya, kulitokea la westgate na lile la Garisa. Ila tusiache pia kulitizama lile la 1996 na jinsi lilivyoshughulikiwa na yule wa wakati ule. Siku ya 6 tokea 21, yaani 27.

Ni nini kilikuwa ama tunaweza kukifananisha na siku 6 za leo, yaani tokea 10, kwa waliokuwepo basi mnaweza mkasaidia kuvuta kumbukumbu kwa umakini kabisa na mwisho tutaona hili kwa leo tulisemeje.

Karibu mkuu Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…