Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Kimempanda nini!

Mama yule alituonya kwa vitendo tutafanya shingo Ngumu oneni sasa.

Yule mama hapa lawama hana.

Yule mama ali stay back...sisi tukawa wazembe kutambua Abigail alikuwa anamaanisha nini

Poor Us
 
Hivi mara ya mwisho alionekana lini? Hili nalo ni muhimu kulijua.
 
Au anasubli kumtumbua mtu atakaye chezea pesa za wahanga.
 
Kimya kingi mshindo mkuu, pengine anajipanga kuwafanyia kitu kikubwa sana watu wa Kagera!!

But mmmmmh.... Inatia shaka sana!!
 
haya ataongea weekend hii ili ampunguze maumivu ya watu ni kazi kumwelewa binadamu anataka nini na kwa wakati gani kwa ufupi hapa watu wanatafuta wapi watalalamikia ni roho za malalamishi ndizo tunazozibeba sasa kanyamaza bado mnamtafuta mwende weekend na malalamiko haya ataongea.najaua anapitahumu na kuna uwezekano baadhi ya hoja anajibu kama mchangiaji mwingine sasa brother ongea tafadhari tujitafutie stress za weekend hatuna hela ya bia angalau tukikulaumu masaa yanakwenda.(tafadhari msinibebe mahakamani natania tu).
 
Mkuu Pasco;
Usiogope kimya hiki kwa sababu, kulikuwa hakuna jinsi. Kule kwenye kapu la mama kulikuwa hakuna kitu. Misanyo mlosikia si ilikuwa ni namba tu?? Huwezi sanya bila cha kukamata. Meli zilishapoteaga njia na kwenda kwa jirani zenu. Kule magharibi walishaamua kutumia fukwe zingine za kule kule magharibi kusini. Hivyo, mlivyoambiwa kuwa wavunaji ati wameingiza matrili ujue ilikuwa hekaya za Abunuwasi tu. Maulana kawaumbua kwa kisanga kidogo tu. Mkoa mmoja ukatikiswa.
Kavunja safwari buwanaa asieleweke vibaya. Sasa kina Mo na Meng & Co weshamjaza atatokezea tu. This week end tarajia tamko rasmi jinsi ya kuyadhibiti matetemeko.
 
Wahenga wanasema "kimya kingi kina mshindo" haya pengine kuna mshindo unakuja.

Au hali ya hewa mbaya flu za siki hizi ni kali hata mimi nimebanwa wiki mbili sasa
 
Sema mwenyewe kinasemaje kama sio chuki tu zimekujaa
Tatizo ni akili yako ngumu kuelewa. Nimeuliza hivyo kwa maana imekuwaje hakuonekana akimwapisha Dau??

That was the point behind all this!! Sasa kusema nina chuki na Dau ni upuzi mtupu. Najua unalenga kwenye udini mimi huko sipo na wala sijawahi kucomment kwa hiyo misingi. Binafsi simfahamu Dau zaidi ya kumsikia humu mitandaaoni!!
 
Pasco nahisi kuna wakati tunamsingizia mtu.Mbona mwenyewe sijamsikia akisema asitajwe ovyo.
Nyapara ni mkali na katili kuliko askari jela.
 
Mkuu anacheza vizuri sana karata zake
Baada ya mwaka mmoja lazima apime popularity rating ipo juu
Hii ni mugabe style,unapotea hadi watu anakutamani,ukiibuka unatumbua hadi 2020 kura 90%
 
Yaani bwana pasco umeongea wee.. aafu design kama umeweka kamtego kakuwaacha wenzio waende kisutu ilhali wewe unacho cha kujitetea
 
Alituhaidi kutuonesha Salary Slips zake akiwa Chato...alizionesha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…