We ndo utakuwa less informed!! Sio kwamba kuna uhaba wa chakula bali kuna panic ya huenda KUKATOKEA uhaba wa chakula baada ya kuonekana supermarkets zimefurika watu wakinunua chakula kwa wingi kuliko ilivyo kawaida.You may be less informed
Hofu hii ya wananchi inatokana na ukweli kwamba over 95% ya chakula cha Qatar kinaagizwa kutoka nje!!!
But all in all, ni ngumu kwa Qatar kuwa na uhaba wa chakula... labda kupanda kwa bei za vyakula! Nchi yenyewe hata watu 3 milioni hawafiki na miongoni mwao wa-Qatar hawafiki hata 500K. Zaidi ya 80% ya wakazi wa Qatar ni wageni. Bei zinaweza kupanda kwa sababu watalazimika kubadili export routes though ripoti ya FBI inaweza kumaliza mgogoro wenyewe!!!