Recep Tayyip Erdogan atasema nini mkuu? Bora hata ungesema Iran....Usijali Uturuki wameingilia kati, mambo yatakaa sawa.
Wacha kutunga story kijana hii ni jamii forum sio gazeti la uzushi. nani aliekuambia kuna uhaba wa chakula na nani mwengine aliekuambia anataka kuvamiwa. Yaani mnakaa hamuna kazi na MB zenu mnatunga story.
na kwa maelezo yako hujui hata kinachoendelea.
Walichokifanya watu ni kujaza stock ya vyakula nyumbani mwao kama tahadhari but hawajafikia huku mnakomaanisha nyinyi
Hali kwenye supermarkets huko Qatar....
View attachment 520384 View attachment 520385 View attachment 520386
Qatar residents rush to stock up on food after border closedMbona supermarket hawarudishii bidhaa kwenye shelves !?
Gari zang za uchafu ntamwachia naniKituo cha televisheni kinaelezea kuwa kuwa uwezekano mkubwa kuwa nchi ya Qatar ikapinduliwa na akina Saudi Arabia, UAE na Misri ambazo zimefunga mipaka yao na pia kuzuia ndege za Qatar kupita kwenye anga zao (tazama picha hapo chini) na hii imepelekea Qatar kutumia anga ya Iran
Pia kutokana na uhaba wa chakula Qatar kuna uwezekano kukatokea vurugu ambavyo waataoathirika ni wageni na watanzania wanaofanya kazi huko.
Sasa kwa nini mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote ile toka wizara ya mambo ya nchi za nje na Ubalozi wetu uliopo Qatar kuhusu hali iliopo Qatar na wa Tanzania waliopo huko watasaidiwaje?
Nchi zingine za Africa zishaanza mipango ya kuwaondoa raia wao toka Qatar sisi huku kwetu tumekuwa kimya...Kimya toka Ikulu, Wizara ya nchi za Nje, Ubalozi wetu Qatar na idara zinginezo.
Pia najiuliza hivi tushafanya jitihada zipi kujua mahusiano ya Kijeshi, kiplomasia, kibiashara na ki jamii tuliyonayo na Qatar yataathirika vipi kama Serikali yao ikipinduliwa?
Hiki kimya toka kwa hawa watawala wetu tukitafsiri vipi?
View attachment 520387 View attachment 520382
View attachment 520382
Lazima waathirike, ila wana ulinzi wa USA wa karibu askari 10K, manowari na vifaa vingine vya kivita vya ukweli.Watu wengi (wajinga) wanasema kuwa Qatar haitaathirika
Mara wana GDP kubwa duniani Qatar ataumia sana, wanamuweka mtu kati hao kina Turkey wanataka kutuliza ila Trump anawasapoti Saudi na ndio ulikua mpango
Nani kakudanganya kuwa Qatar kuna uhaba wa chakula??? Nchi inayoongoza kwa GDP duniani inaanzaje kuwa na food shortage?
Hata geography ya darasa la nne pia hawaijuinani aliekuambia kuna siege? kama anga analazimika kuzunguka around the gulf badala ya kupita anga ya saudia kuja huku africa, na hii leo ndege ya QATAR imefika bongo na kuondoka. bandari anayo, fedha wanzao kwa wao kubadilisha njia ya kuingiza bidha sio tatizo.
mnaonekana nyinyi vijana vichwa vyenu vipo closed