POST TRUTH
Senior Member
- Nov 18, 2016
- 104
- 147
Kituo cha televisheni kinaelezea kuwa kuwa uwezekano mkubwa kuwa nchi ya Qatar ikapinduliwa na akina Saudi Arabia, UAE na Misri ambazo zimefunga mipaka yao na pia kuzuia ndege za Qatar kupita kwenye anga zao (tazama picha hapo chini) na hii imepelekea Qatar kutumia anga ya Iran
Pia kutokana na uhaba wa chakula Qatar kuna uwezekano kukatokea vurugu ambavyo waataoathirika ni wageni na watanzania wanaofanya kazi huko.
Sasa kwa nini mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote ile toka wizara ya mambo ya nchi za nje na Ubalozi wetu uliopo Qatar kuhusu hali iliopo Qatar na wa Tanzania waliopo huko watasaidiwaje?
Nchi zingine za Africa zishaanza mipango ya kuwaondoa raia wao toka Qatar sisi huku kwetu tumekuwa kimya...Kimya toka Ikulu, Wizara ya nchi za Nje, Ubalozi wetu Qatar na idara zinginezo.
Pia najiuliza hivi tushafanya jitihada zipi kujua mahusiano ya Kijeshi, kiplomasia, kibiashara na ki jamii tuliyonayo na Qatar yataathirika vipi kama Serikali yao ikipinduliwa?
Hiki kimya toka kwa hawa watawala wetu tukitafsiri vipi?