Kimya cha Dr Slaa kina mshindo mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimya cha Dr Slaa kina mshindo mkuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by shilanona, Nov 10, 2010.

 1. s

  shilanona Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamvini!!
  Mbona kimya hiki kinanipa wasiwasi? Huyu Mpambanaji wetu Dr Slaa yuko huru na salama kweli? Watanzania chungu nzima hatukukubaliana na matokeo ya Tume ya Uchaguzi, lakini mbona subiri subiri inataka kutuumiza matumbo? Au zile tetesi za kwamba Dr Slaa yuko kwenye kizuizi cha nyumbani ni za kweli?
   
 2. H

  Hegelyakoni Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee hana pressure anasubiri kuiteka nchi 2015 kwasasa yuko bunge
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guarding election boxes, risking our own lives by comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused us. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr ana busara nyingi sana. Akurupuki, anapanga jeshi kwanza. J2 ataongea
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kunywa uji ukalale we unadhani huyu ni makamba au chiligati anayekurupuka tu
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  uji au cereal dada?
   
Loading...