Elections 2010 Kimya cha Dr Slaa kina mshindo mkuu

shilanona

Member
Oct 31, 2010
55
22
Jamvini!!
Mbona kimya hiki kinanipa wasiwasi? Huyu Mpambanaji wetu Dr Slaa yuko huru na salama kweli? Watanzania chungu nzima hatukukubaliana na matokeo ya Tume ya Uchaguzi, lakini mbona subiri subiri inataka kutuumiza matumbo? Au zile tetesi za kwamba Dr Slaa yuko kwenye kizuizi cha nyumbani ni za kweli?
 
Dr.Slaa ametuacha kwenye mataa, asingekwenda dodoma wakati mamillion ya wazalendo hawajui msimamo wake. We spent sleepless nights guarding election boxes, risking our own lives by comfroting ccm security machinery and now he is in dodoma shaking hands with ccm thugs, the very same people who corrupted the election and physically abused us. Tulikosa usingizi na kupigwa mabomu bure! Dr. Slaa should be kind enough to talk to the people or at least apologize for not doing so. Ukimya utaondoa imani ya watu kwa huyu bwana, wapenda mageuzi wa kweli watakuja kuamini kwamba na yeye ni mbabaishaji tu kama waliomtangulia.
 
kunywa uji ukalale we unadhani huyu ni makamba au chiligati anayekurupuka tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom