Hache ujinga angalia vizuri hii picha .hakuna lolote hii photoshop.hii picha ya magorofa chini imepigwa kwenye ndege na picha ya demu ni tofauti kabisa.ya dem imepigwa beach au sehemu nyingi.angaria hata mgongoni kwake demu kuna mionzi ya jua linalotua na wala haiwiani na kwenye magorofa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.