Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,710
- 167,711
Hili nalo neno🙄🙄🙄Malori!!!
Lori!!!!
Biblia husema kimtokacho MTU ndicho kilichoujaza moyo wake.
Malori yana kawaida ya kuendeshwa na dereva mmoja tu iwe yale ya safari fupi au ndefu,tofauti na mabasi ya safari ndefu ambayo huwa na madereva wawili!!!
Malori huwa na KONDAKTA mmoja tu wakati mabasi huwa na makondakta wawili au kadhaa!!!
Mwisho na muhimu sana, malori hayabebi WATU yanabeba MIZIGO!!!
Dereva wa basi linaloenda Mbeya,abiria wakifika Chalinze wakachepushwa kwenda Arusha watahoji, lakini kamwe MIZIGO haiwezi kuhoji hatma ya safari yao!!!!
MaCCM ni sawa na marobota hayahoji yatapelekwa pelekwa tu na kumwagwa hata ndani ya mto.Nimekusoma Bujibuji
Kweli tumekua mizigo tunapelekwa pelekwa tu.
Hahahaa hii picha nimeiona muda mrefu lakini tangu jana imepata sehemu husika.
Kuna id moja hivi huwa inapigwapigwa ban mara kwa mara kwa sababu ya matusi, hiyo id haina uvumilivu wa kusikiliza maoni yanayomkosoaHivi Rais John Pombe Magufuli anatumia I'D gani JF?
Paul Makonda, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe na wengine wengi wanatumia majina yao official, Rais wetu Je?
Mzee kazi anayoHahahaa hii picha nimeiona muda mrefu lakini tangu jana imepata sehemu husika.
Utaiva tu, mnaimba nyimbo za kutukana Rais halafu unaleta riwaya hapa. Lori loriii, wewe acha tuinyooshe nchi, hutaki ondoka nchini.Malori!!!
Lori!!!!
Biblia husema kimtokacho MTU ndicho kilichoujaza moyo wake.
Malori yana kawaida ya kuendeshwa na dereva mmoja tu iwe yale ya safari fupi au ndefu,tofauti na mabasi ya safari ndefu ambayo huwa na madereva wawili!!!
Malori huwa na KONDAKTA mmoja tu wakati mabasi huwa na makondakta wawili au kadhaa!!!
Mwisho na muhimu sana, malori hayabebi WATU yanabeba MIZIGO!!!
Dereva wa basi linaloenda Mbeya,abiria wakifika Chalinze wakachepushwa kwenda Arusha watahoji, lakini kamwe MIZIGO haiwezi kuhoji hatma ya safari yao!!!!
Wewe ndio nani hapa nchini?Utaiva tu, mnaimba nyimbo za kutukana Rais halafu unaleta riwaya hapa. Lori loriii, wewe acha tuinyooshe nchi, hutaki ondoka nchini.
Nakuunga mkono mkuu.Malori!!!