Kimsboy: Mimi sio SHIA na silipwi na IRAN

Nilikua sijui mnavyonichukulia kwamba mimi ni shia duuh

Kuna washikaji tulijuana huku tumekutana moshi jana mahali tunapata moja moto moja baridi wananiuliza habari za imani ya kishia.....

Niliishia kucheka tu eti kwasababu napost habari za Iran humu......Mimi siyo Shia ndugu zangu, wenyewe hata sijawahi kuwaona kwa macho hata misikiti yao naiona tu km navyoona nyumba nyingine za ibada

Sijawahi kukanyaga msikitini kwao, au kwenye ibada zao wala mambo yao, kiufupi Shia nimekuja kuwasikia ukubwani tu lakini mimi hadi nafikisha 18 years sikuwahi kujua kama kuna watu wanaitwa Shia

Kuwa pro iran ni mapenzi tu kwasababu ya mitazamo yao ya kisiasa lakini haimaanishi mimi ni Shia

Nimeona niliweke hili kwa ufupi ili tuweze kwenda sawa maana watu wanadhani mimi ni Shia humu

Mimi sio shia mimi ni mangi tena mpole kabisa[emoji1317][emoji1317][emoji1317]mimi ni kijana wa kichaga nimekuzwa na kulelewa kichaga kabisa.....[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Sio "Takiya" hii?
 
Sawa mangi
Vipi muqawama wana mpya gani leo?
Vipi Wazayuni bado wanaendelea kukalia kimabavu ardhi ya wafilisti au tayari wamefurushwa na Muqawama na kuamua kurudi makwao huko ulaya?
[emoji23]
 
Nilikua sijui mnavyonichukulia kwamba mimi ni shia duuh

Kuna washikaji tulijuana huku tumekutana moshi jana mahali tunapata moja moto moja baridi wananiuliza habari za imani ya kishia.....

Niliishia kucheka tu eti kwasababu napost habari za Iran humu......Mimi siyo Shia ndugu zangu, wenyewe hata sijawahi kuwaona kwa macho hata misikiti yao naiona tu km navyoona nyumba nyingine za ibada

Sijawahi kukanyaga msikitini kwao, au kwenye ibada zao wala mambo yao, kiufupi Shia nimekuja kuwasikia ukubwani tu lakini mimi hadi nafikisha 18 years sikuwahi kujua kama kuna watu wanaitwa Shia

Kuwa pro iran ni mapenzi tu kwasababu ya mitazamo yao ya kisiasa lakini haimaanishi mimi ni Shia

Nimeona niliweke hili kwa ufupi ili tuweze kwenda sawa maana watu wanadhani mimi ni Shia humu

Mimi sio shia mimi ni mangi tena mpole kabisa[emoji1317][emoji1317][emoji1317]mimi ni kijana wa kichaga nimekuzwa na kulelewa kichaga kabisa.....[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Ila unalipwa na Ayatollah Ali Khomeini
 
Back
Top Bottom