Hata wewe ni mbu mbu mbuu wa kiFaransa, kiSpaniola, kiChina, kiJerumani etc...kutojua lugha fulani ya kigeni hakujawahi kumfanya mtu mbu mbu mbu...nilikuwa na maDaktari maconsultant toka uFaransa hawajui kiIngereza, wanachapia balaa..lakini ni ma'Nguli' wa fani yao..utawaita ma-mbu mbu mbuu kwa sababu hawajui kiIngereza!?