kimoja kimoja tu

Yatatutosho kweli?

Ongeza mengine.

Mimi wa kwanza kuyaona, nataka vipande vitatu peke angu
 
Oyaa acha kunitamanisha aisee!! Huku kwetu adimu sana hayo makitu
 
Ndio mkuu nitashukuru sana.
Fanya vyema ulete mengi tar 25 oct tule huku tunalinda kuraaa

yako mengi sana mpaka mengine yanaharibika katika mikono ya wakulima sababu ya serikali ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…