Kimi K3: Jibu la Anthropic

Acha kufananisha anthropic na kinyesi
Wazungu wenyewe wanaweweseka halafu wewe mmatumbi unaetumia Anthropic ya bure kwa kupimiwa unabwabwaja
KIMI 3 ni open source, kwanini mzungu mbupu zisimbane huku Moonshot imebidi kusimamisha maombi mapya ya kujiunga kutokana na mafuriko ya maombi


 
We jamaa id zako hazijifich kama mkia wa mamba kwenye shuka, sijui una hiv maana una hasira za karibu, sasa jibu uone ninavyokushushia matusi tulia hvy hvy ukinijibu nakugonga makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…